Nimekubali kuwa CCM ndicho chama pekee cha siasa


nawe pia una matatizo, kwa maelezo yako tu, wewe una chama tena kile wanachovaa nguo za kijani.
 
CCM ndicho chama pekee cha siasa hapa nchini.

Ungeanzia hapo kujadili hoja (strenghs of ccm & weakness other political power), then uje na evidence ni kwa namna gani (how) vyama vya upinzani ni vya kiharakati? tofauti na hapo huna jipya na umekengeuka kwa uzi wako hauna mwega.
 

Ndio ujiulize sasa!Kama katiba ya JMT hairuhusu vyama vya kidini na kikabila inawezekanaje serikali ikaruhusu chama cha kikabila na kidini kama chadema kwa mujibu wa thread yako?
Lakini lazima utambue kuwa rais ameapa kuilinda katiba ya nchi na akienda kinyume cha katiba anapaswa kushtakiwa kwa usaliti.Umeshamfungulia mashtaka rais wako kwa kutoilinda katiba?
Halafu pia nawashangaa mnaosema CDM ni chama cha kidini na kikabila,je hii list hapa chini inaifanya CCM kuwa chama cha kikabila na kidini?

1. Mwenyekiti - Jakaya Kikwete - Muislamu
2. Katibu Mkuu - Abdulrahman Kinana - Muislamu
3. Naibu Katibu Bara - Mwigulu Nchemba - Muislamu
4. Naibu Katibu Viziwani - Vuai Ally Vuai - Muislamu
5. Katibu Itikani na Uenezi - Nape Nnauye - Muislamu
6. Katibu wa NEC Siasa na uhusiano - Asha Migiro - Muislamu (Zamani mkristo)
7. Katibu wa NEC Uchumi na Fedha - Zakia Meghji - Muislamu
8. Katibu wa NEC Oganizesheni - Mohamed Seif Khatib - Muislamu

Tukija kwenye serikali nyadifa zote muhimu zimekamatwa na waislamu
1. Rais wa Nchi - Muislamu
2. Makamu wa Rais - Muislamu
3. Jaji Mkuu - Muislamu
4. Mkuu wa Usalama wa Taifa Muislamu
5. Mkuu wa Polisi - Muislamu
6. Waziri wa Ulinzi (wizara nyeti na muhimu) – Muislamu
7. Rais wa Zanzibar muislam
8. Makam wa Rais Zanzibar wote ni waislam

Wakuu wa Mikoa 65% ni Waislamu.
Wakuu wa Wilaya 80% ni waislamu'
 

Ilitakiwa wewe ndo utupe hizo sifa ili sisi ndio tujadili vingivyo uzi huu umeukosea nikiwa na maana ktk kichwa ilitakiwa uwe wazi kutaka kufundishwa na sio kuonyesha unajua kwa kifupi tu ccm haiwezi kuwa chama cha siasa zaidi ya kuwa chama cha wezi
 
Waungwana hunena mti mwenye matunda ndio hupigwa mawe, ccm ni chama bora kwani huwajali wananchi wake, hudumisha amani na mshikamano kwa watanzania
 
Nafikiri watu hatuko sawa wote katika suala la kutafsiri mambo.

CCM gani kinaua watu wake bila hatua kuchukuliwa ?

Serikali haina mawaziri bali kina mizigo.
 
Chama chenye kutekeleza ilani yake kwa matakwa ya watanzania ni kila kilichoainishwa kwenye ilani kwa asilimia kubwa kimetekelezeka na vingine kukamilika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…