chavka
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 223
- 46
Hv majuzi niliweka tatizo langu jamvini juu ya kupoteza mud ktk tendo la ndoa. Nawashukuru wanajamii ushauri wenu wa umenisaidia na sasa nimeanza kufurah unyumba wangu na kujiona narudi uwanjani kama zamani 3 za afya na bado nakuwa niko fit kuendelea ila kwakuwa wife sizidish kipimo. shukranini wanajamii mola awajalie salama 2zidi kuwa pamoja