Nimekua babu kabla ya kuwa baba

Nimekua babu kabla ya kuwa baba

kyanyangwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
1,460
Reaction score
4,167
Kuna lishangazi huwa najipigia,sasa leo mwanae wa kwanza kajifungua mtoto wa kike.

So nimeanza kuitwa babu kabla ya kuitwa baba as sina mtoto mpaka sasa.
 
Umetisha sana mwamba
 
Back
Top Bottom