Ningefanyaje sasa?Kashakuona muongo, kuna wanawake ukishaanza kuwaambia habari za unampenda ndio ushampoteza.
sasa uki uawa na huyo mpenzi wake hapo chumbani kwake,Nimekutana na mdada mmoja, tukaanzisha urafiki (sio wa kimapenzi). Ikafika mahali tukawa tunapiga stories nyingi tu. Mdada hajaolewa ila ana mchumba wake. Mimi nimeoa.
Huyo dada huwa ananipigia stories za mapenzi namna ambavyo huwa anafanya na mchumba wake, mitindo anayoipenda. Ananitajia shanga alizovaa kiunoni mpaka idadi yake.
Weekend ananiita naenda kwake, anapika na tunakula na kuangalia movies.
Akili ikanituma kuwa, huyu dada ni mimi tu namchelewesha. Ikabidi nimtupie neno la kumtongoza. Ajabu ni kuwa, amekasirika wiki ya tatu sasa. Hakuna cha calls, meseji wala ku-view status zangu.
Nimekosea wapi? Ningefanyaje?
🤣🤣Afu jamaa anasema kaoasasa uki uawa na huyo mpenzi wake hapo chumbani kwake,
humu JF tutachat na nan na tulikuzoea na thread zako kama ivi?
Usingemtongoza ungeenda jilia vyakoNingefanyaje sasa?
yaani anatafuta minundu ya uso kizembe sana tena kwenye geto la wenyewe,🤣🤣Afu jamaa anasema kaoa
Au kaoa punyeto?
Mletee wimbo huo labda haujui🤣yaani anatafuta minundu ya uso kizembe sana tena kwenye geto la wenyewe,
hatari sana kuchezea shilingi kwenye tundu la choo,
Akaiskize vizur ngoma ile ya bukuku inatwa dunia haina huruma
Kumbe ndio huwa hivyoBlazaaaaaa demu kakuwekea mpaka mitego umeshindwa kumlaa.. yani kakutengenezea mazingira wee.. mademu wengine hawapendi maneno mengi yani wwe ingia kula afu kausha sasa subiri kutangaziwa jogoo hapandi mtungi🤣🤣
Ukitengenezewa mazingira pita babu… japo atajifanya kanuna ila kimoyomoyo anafurahia na sku nyingine anakuletea mwenyeweKumbe ndio huwa hivyo
Nikikataa ndio anaenda kunitangaza ni koloUkitengenezewa mazingira pita babu… japo atajifanya kanuna ila kimoyomoyo anafurahia na sku nyingine anakuletea mwenyewe
Ulitakiwa umwachie cheo chake, kama alianza kukukaribisha ulitakiwa usubiri tamko lake, amekuchukia kwa kuona huna subraAkili ikanituma kuwa, huyu dada ni mimi tu namchelewesha. Ikabidi nimtupie neno la kumtongoza. Ajabu ni kuwa, amekasirika wiki ya tatu sasa. Hakuna cha calls, meseji wala ku-view status zangu.
HaswaaaaaaNikikataa ndio anaenda kunitangaza ni kolo