Nimekosea email wakati naomba chuo

Libunda

Member
Joined
Sep 17, 2019
Posts
88
Reaction score
80
Wapendwa wa jamii forum

Yaani nimepata stress nimekosea email wakati nikifanya usajili wa kuomba degree..Sasa Kuna namba moja TU nimesahau nikajua nipo right mpaka naweka password.

Nikawa tayari nimekuwa register..Sasa email ambayo nimeweka Hata sija isign up,..kwahiyo nikijaribu ku create account mpya kwa kutumia hiyo email niliyojisajili kwenye maombi ya chuo inakataa..Sasa wakati Naomba Award verification number najibiwa Nimetumia kwenye email.. Nisaidieni nifanye nini ndugu zangu...
 
Fanya hvyo dogo chap bado hujakosea Maisha usikate tamaaa kabsa bado una nafasi ya kurekebsha ila huko kwenye kuchagua course ndio uwe makini zaidi uchague vtu vyenye Tija na future yako.
 
Labda ulimtendea mtu mabaya kwa kutumia email kwa iyo Karma ikakurudia.
 
Mbali na mengine uyakayofanya, AVN unaweza kuiangalia kulekule kwenye website ya NACTE, cha muhimu ni kama uli note user name na password ya mfumo wa online verifikstion wa nacte ambayo wanatuma pia kwenye sms.
 
Ukipewa hiyo degree uliyoomba, nistue na mimi niombe...
 
Watoto mna papara sana,mawazo mengi
Pengine ulikua unajaza fomu huku unachat watsapp,hamuwezi ku concetrate na jambo moja bila kushika simu
 
Labda ulimtendea mtu mabaya kwa kutumia email kwa iyo Karma ikakurudia.
Mbn ulichoandika hakina mahusiano..Kwan hukuwah kukosea Ht kuweka password na ukarudia Tena..Bhac Ht mm hvy..Jina la email Ni sawa Ila Kuna namba moja ndo cjaweka ..Lkn CIO km nimekosea jina nzima hpn.Its like email iko hv mambo9@.....Sasa mm nikaandika mambo peke yake..Huo ndo Mfano nilichokosea.
 
Mbali na mengine uyakayofanya, AVN unaweza kuiangalia kulekule kwenye website ya NACTE, cha muhimu ni kama uli note user name na password ya mfumo wa online verifikstion wa nacte ambayo wanatuma pia kwenye sms.
Nimefany hvy lkn sijaona ujumbe Wao kweny simu Sasa ndo maan nahaha kweny email may be itakuwa wamenitumia
 
Watoto mna papara sana,mawazo mengi
Pengine ulikua unajaza fomu huku unachat watsapp,hamuwezi ku concetrate na jambo moja bila kushika simu
Hahahahahahaha una dhambi weweee.Haya bwana maan c shushu hilo
 

dogo jifunze kuandika,wewe tayari ni mwanachuo , msomi na mtu mzima acha kuandika kihuni “cio” ndio nini mdogo wangu ? utakosa hata kuolewa baadae kwa mambo kama haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…