Nimekosa Mke basi angalau Mwanamke

nzalendo

Platinum Member
Joined
May 26, 2009
Posts
12,901
Reaction score
14,611
Baada ya kutangaza kutafuta mke na kuambulia patupu,
basi.....
Natafuta angalau mwanamke/demu.
 
Pole, mwanamke kutafuta mitandaoni? Kihalisia mwanake akufaaye ni yule unayeonana katika mazingira/maeo yako unayokuwepo, mnaye kutana mara kwa mara, mnayebadilishana mawazo , umsome tabia yake, na ujilidhishe, mfuate na onane nae. Hapo utapata mwanamke. Uede wewe kama wewe usitumie cheo, umaarufu wala pesa, ukifanya hivo utapata mke bora!
 
Pole sana. Wanawake humu mbona wengi, jamani msimfanyie hivyo mwenzenu.
 
HahaHahaha ata msichana, binti, yyte jamani mwenzenu anamfaa si kama kukosa kabisa
 
sijui nianze kuhudhuria mikesha mbona mwaka unaisha jamani,hii gundu au?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…