Nimekoma sizami chumvini tena

Hii ni chai kavu kabisa, yaani namba ya siri umeiandika kwenye karatasi harafu hiyo karatasi unatembea nayo!!! huu ni uongo kama ulivyo mwingine.
 
Ahahahahahahahaha
Mungu weeee hii JF itaniua
Nimecheeeka mpaka boss ananishangaa!

Pole dogo/kubwa! Pole sana

Ila kuzama chumvini ndio habari ya Tz wazungu wanasema you wont get a head if you dont give a head!

Raha ya chumvi tunaijua wenyewe! Ukitaka mauno classic zama chumvini!
lara 1 njoo msaidie mdogowako
 
Story yako ina utata. Namba ngapi hizo za siri za kushindwa kukariri kichwani mpaka uandike pembeni!! Kakuibia simu! Na sasa hivi unatumia nini kiingia JF!! Matukio ya hii story bado hayaniingii akilini!
 
so chumvini kumepelekea kuibiwia au baada ya kuzama nakukutana na chumvi ya mawe plus uchafu uchafu
 
Aisee ww jasiri....unaokota mwanamke barabarani...unazama mpaka chunvini!!...angalia next time utapata ukoma wa mdomo shauriyako
 
Mnakulana bila kuoga[emoji15]

Then usinote cku nyingine kwenye karatasi hifadhi kichwani
 
Mwanamke umekutana nae juu kwa juu unaanzaje kumnyonya chini? Ni ujinga...
 
ndug penda Uvinza, umepokea Tsh 5000 toka kwa No04. salio lako jipya ni Tsh 5001. asante kwa kutumia JF!
 
Asante kwa taarifa tumejua unazama chumvini. Siku nyingine lamba sukari hutopoteza raslimal kzembe!! Kwa ushauri,Acha hzo tabia za ktanda!!
 
Bado nauliza...Hivi hizi bahati mbona hazitutokei sisi?

Sisi pamoja na kwenda club na kukutana na malaya wa aina tofauti toka enzi hizo hatujawahi hata kuibiwa 500 na malaya au hata kumyonya kidole achilia mbali papuchi.

Mbona kuna watu mna bahati hivyo?
 
Utapata gono la mdomo acha ujinga
 
nilikuwa mzito kweli kufungua huu uzi nimekuta nilichohisi bullshit
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Nmebak tu nacheka

Cjui hata nkushaurje
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…