Nimekoma sizami chumvini tena

Kwanza Uzi wako hauhusiani na mada mkuu..soma wewe utadisko acha ujinga
 
Jamani dada kwanini hukulichukua likawa hata msukule wakukufulia chupiiiiii....mabazazi kama nyie ndio sababu tunapata ukame
 
Ovyo kabisa huwezi pata msaada Kwa matatizo ya kujitakia
 
We mzee una balaa wewe hatari, usipotubu mapema huu mwaka si wako
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Tukuyu
 
Huyu jamaa muongo nani anaweka kadi ya atm na password kaandika pembeni kwenye karatasi


Ingekua story ya kweli labda angesema kadi haikua yake pia aproach ya uzi huu angeomba msaada au angeuliza kuna uwezekano wa papuchi kuwekewa madawa ya kulevya??

Still it doesnt make any sense kwa hiyo uyo mdada alijua utazama chumvini akakuwekea madawa????
 
Hadithi tamu sana, kwanza nenda karipoti polisi mengine yatafwata
 
Kwa hiyo ulinogewa?


Nenda katunge tena ndo utuletee hapa , ikiwezekana mtumie Shigongo aihariri .
 
uliandika kwanza Uzi huu ndo ukaibiwa au maana sielewi kabisa. nahiyo a/c umefungua juzi mpka uandike namba ya siri kwenye karatasi tena unaweka na card mkuu mungu anakuona katk uongo wako huo .
 
Chui Mnyama Wewe!.... Ulidhani Umekamata Swala?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…