stata mzuka
JF-Expert Member
- Nov 25, 2012
- 4,834
- 1,765
Game za nje hazikwepeki aisee maana huwezi kula Ubwabwa Maharage kila siku kuna siku inabidi ubadilishe ule hata pilau kuku. M/Mke unakaa nae kwenye ndoa miaka10 hata ukilala nae unahisi umelala na m/ume mwenzako maana hata hisia hamna kabisa.