Humu jf kila mtu huwa anajidai mwaminifu kuzidi wengine. Mkuu wengi wao humu ni wataalamu wa one night stand tena ni waume na wake za watu! Bora we hujaoa ila jirekebishe na tafuta namna nzuri ya kumpoza huyo mtu wako! Na uwe unatumia salama, kuna vijana kibao above 20 ambao walipata maambukizi kutoka kwa mama zao/wameambukizwa na mafataki na wana afya njema huwezi kuamini. Lakini naweza kukuhakikishia hao wanaokutukana ni cheaters wazuri tu.!
Poa tu kama umekinukisha mwenyewe....One night stand unamletaje ghetto? Nenda chini ya migomba huko mkakutane
Yaan we kila mwanamke unampeleka kwako?
Shule zikishafungwa ni matatizo matupu humu jf. Wakusoma wote wamehamia jf. Shule zifunguliwe mapema tuondokane na hii adha humu jf warudi huko facebook.Namwomba mola anisaidie niweze kuishinda mitihani hii. Kwa mara ya kwanza ktk maisha yangu nimegonganisha wasichana. Nina girlfriend ana wivu sana. nampenda sana,huwa sipendi nimuudhi ingawa yeye huniudh kwa wivu ulopitiliza. Sitaki niwe mnafiki one night stand za hapa na pale nimezifanya sana na wadada wengine. Na leo imekuwa moja ya hiyo siku niliyo mcheat nayo. Mpnz wangu hkuwa na mpango wa kuja kwangu. Kuna huyu mdada,ni rafiki yangu but tumejikuta tume do,na yeye ananipenda na anaona kama vile ana chance na mimi. Na yeye pia anapafahamu kwangu. Jana kaja usiku tuka hangout,hao tuka do. Akalala. Girlfriend wangu simu hazikatiki usiku kucha. Alfajiri huyo akatinga nyumbani...ndani yupo "kimada"...to be continued... ***** Updates...12.25pm bi mkubwa bado kapiga kambi nje,ila nahsi ni kama anataka kuondoka. Hapa ana uhakika nipo,ameona tv iko on ndani. Niko nimetekwa kama tukio la westgate vile!
Mi siyo mtoto bro,naweza nikawa nakuzidi. Chuo nilimaliza miaka mingi tu. Sijaoa,ila labda mwakani. Siko perfect kama binadamu wengi duniani. Haya ni mapito tu. Wapo wenye ndoa wengi wanacheat