NIMEKOMA: nishaurini,nitukaneni mtakavyo; nastahili

Mwambie aingie kwani kuna tatizo?alafu hivi vitanda hivi basi tuu..wengine vitanda vyao vimekua kama vya guest house...
 
[Nadhani unapenda sana ukimwi, utaupata
Namwomba mola anisaidie niweze kuishinda mitihani hii. Kwa mara ya kwanza ktk maisha yangu nimegonganisha wasichana. Nina girlfriend ana wivu sana. nampenda sana,huwa sipendi nimuudhi ingawa yeye huniudh kwa wivu ulopitiliza. Sitaki niwe mnafiki one night stand za hapa na pale nimezifanya sana na wadada wengine. Na leo imekuwa moja ya hiyo siku niliyo mcheat nayo. Mpnz wangu hkuwa na mpango wa kuja kwangu. Kuna huyu mdada,ni rafiki yangu but tumejikuta tume do,na yeye ananipenda na anaona kama vile ana chance na mimi. Na yeye pia anapafahamu kwangu. Jana kaja usiku tuka hangout,hao tuka do. Akalala. Girlfriend wangu simu hazikatiki usiku kucha. Alfajiri huyo akatinga nyumbani...ndani yupo "kimada"...to be continued...
*****
Updates...12.25pm
bi mkubwa bado kapiga kambi nje,ila nahsi ni kama anataka kuondoka. Hapa ana uhakika nipo,ameona tv iko on ndani. Niko nimetekwa kama tukio la westgate vile!
 
Kuwa na msimamo mdogo wangu, nahisi bado hujapenda ila unatamani tu...! tuliza akili tafuta unaye mpenda kwa dhati then muoane itakuwa pouwa sana coz unachofanya sio pouwa wala nini........!!
 
eti nimetekwa kama tukio la westgate hahahahahaha kwikwikwikwi,mjini msingi kiuno.
 
Ni kujiendekeza tu,inabidi uoe wake wa 4,oa mademu wa kali wanaokuvutia ili usingonge nje
 
siamini kama kuna ukweli kwenye hii stori
 
Namwomba mola
anisaidie niweze kuishinda mitihani hii. Kwa mara ya kwanza ktk maisha
yangu nimegonganisha wasichana. Nina girlfriend ana wivu sana. nampenda
sana,huwa sipendi nimuudhi ingawa yeye huniudh kwa wivu ulopitiliza.
Sitaki niwe mnafiki one night stand za hapa na pale nimezifanya sana na
wadada wengine. Na leo imekuwa moja ya hiyo siku niliyo mcheat nayo.
Mpnz wangu hkuwa na mpango wa kuja kwangu. Kuna huyu mdada,ni rafiki
yangu but tumejikuta tume do,na yeye ananipenda na anaona kama vile ana
chance na mimi. Na yeye pia anapafahamu kwangu. Jana kaja usiku tuka
hangout,hao tuka do. Akalala. Girlfriend wangu simu hazikatiki usiku
kucha. Alfajiri huyo akatinga nyumbani...ndani yupo "kimada"...to be
continued...
*****
Updates...12.25pm
bi mkubwa bado kapiga kambi nje,ila nahsi ni kama anataka kuondoka. Hapa
ana uhakika nipo,ameona tv iko on ndani. Niko nimetekwa kama tukio la
westgate vile!

ww endelea na gemu,vinginevyo utajuta,maana utakosa vyote
 
Namwomba mola anisaidie niweze kuishinda mitihani hii. Kwa mara ya kwanza ktk maisha yangu nimegonganisha wasichana. Nina girlfriend ana wivu sana. nampenda sana,huwa sipendi nimuudhi ingawa yeye huniudh kwa wivu ulopitiliza. Sitaki niwe mnafiki one night stand za hapa na pale nimezifanya sana na wadada wengine. Na leo imekuwa moja ya hiyo siku niliyo mcheat nayo. Mpnz wangu hkuwa na mpango wa kuja kwangu. Kuna huyu mdada,ni rafiki yangu but tumejikuta tume do,na yeye ananipenda na anaona kama vile ana chance na mimi. Na yeye pia anapafahamu kwangu. Jana kaja usiku tuka hangout,hao tuka do. Akalala. Girlfriend wangu simu hazikatiki usiku kucha. Alfajiri huyo akatinga nyumbani...ndani yupo "kimada"...to be continued...
*****
Updates...12.25pm
bi mkubwa bado kapiga kambi nje,ila nahsi ni kama anataka kuondoka. Hapa ana uhakika nipo,ameona tv iko on ndani. Niko nimetekwa kama tukio la westgate vile!

Sipendi malaya mzembe asiejua kufikiri,,,,,,,, gest zulijaaa!????????
Kitanda chako hakina thamani mbwa na paka wote wageni wako.........
 
Wow..wonders shall never end...binti kapenda kakalishwa nje for hours only bcs of love,the love tht u dnt deserve ,ur a user my brother,u take other peoples feelings for granted, i really hate it...ndio maana wanasema dnt trust anyone even ur own shadow...people are soo evil and selfish.
 
Mkuu asante sana kwa kunifariji,ni kama kitu nilicjosubiria kwahamu sana,ushauri huu. Najitahd kujiliinda

Mie nkafikiri kila mtu anaweza kukushauri kwa busara zake kumbe mwenzetu kuna aina ya ushauri unaotaka.
Ungeweka angalizo sasa.

Anyway hupaswi kufanya jambo kwa vile wengine wanafanya.
Fanya kitu ambacho imani na maadili yako vinakubalian nacho.
Ni ujinga sana kucheat eti kisa walio kwenye ndoa nao wanacheat.
 
Back
Top Bottom