NIMEKOMA: nishaurini,nitukaneni mtakavyo; nastahili

Nyamtala Kyono

Senior Member
Joined
Sep 23, 2010
Posts
163
Reaction score
38
Namwomba mola anisaidie niweze kuishinda mitihani hii. Kwa mara ya kwanza ktk maisha yangu nimegonganisha wasichana. Nina girlfriend ana wivu sana. nampenda sana,huwa sipendi nimuudhi ingawa yeye huniudh kwa wivu ulopitiliza. Sitaki niwe mnafiki one night stand za hapa na pale nimezifanya sana na wadada wengine. Na leo imekuwa moja ya hiyo siku niliyo mcheat nayo. Mpnz wangu hkuwa na mpango wa kuja kwangu. Kuna huyu mdada,ni rafiki yangu but tumejikuta tume do,na yeye ananipenda na anaona kama vile ana chance na mimi. Na yeye pia anapafahamu kwangu. Jana kaja usiku tuka hangout,hao tuka do. Akalala. Girlfriend wangu simu hazikatiki usiku kucha. Alfajiri huyo akatinga nyumbani...ndani yupo "kimada"...to be continued...
*****
Updates...12.25pm
bi mkubwa bado kapiga kambi nje,ila nahsi ni kama anataka kuondoka. Hapa ana uhakika nipo,ameona tv iko on ndani. Niko nimetekwa kama tukio la westgate vile!
 
huna akili we we nyie watoto mnaharibu jf!
 
Mnapata nini kuwa na mtu zaidi ya mmoja?... tamaa tu zimetujaa!
 
Thion mchoro hapa mkuuu,thibitisha uzi wako kwa mchoro
 
huna akili we we nyie watoto mnaharibu jf!

Mi siyo mtoto bro,naweza nikawa nakuzidi. Chuo nilimaliza miaka mingi tu. Sijaoa,ila labda mwakani. Siko perfect kama binadamu wengi duniani. Haya ni mapito tu. Wapo wenye ndoa wengi wanacheat
 
Mwambie kuna mke mwenza, aje baadae
 
Kwa vile umeruhusu mitusi haya basi mi ninaanza na Yua SO FAKIN N SHIT NIGA.
 
Namwomba mola anisaidie niweze kuishinda mitihani hii. Kwa mara ya kwanza ktk maisha yangu nimegonganisha wasichana. Nina girlfriend ana wivu sana. nampenda sana,huwa sipendi nimuudhi ingawa yeye huniudh kwa wivu ulopitiliza. Sitaki niwe mnafiki one night stand za hapa na pale nimezifanya sana na wadada wengine. Na leo imekuwa moja ya hiyo siku niliyo mcheat nayo. Mpnz wangu hkuwa na mpango wa kuja kwangu. Kuna huyu mdada,ni rafiki yangu but tumejikuta tume do,na yeye ananipenda na anaona kama vile ana chance na mimi. Na yeye pia anapafahamu kwangu. Jana kaja usiku tuka hangout,hao tuka do. Akalala. Girlfriend wangu simu hazikatiki usiku kucha. Alfajiri huyo akatinga nyumbani...ndani yupo "kimada"...to be continued...
Huu ----- wako ungeupeleka kwa watoto wenzio huko facebuku. Mpaka shule zije zifunguliwe mtakuwa mmetuchosha sana humu Jf.
 
Mi siyo mtoto bro,naweza nikawa nakuzidi. Chuo nilimaliza miaka mingi tu. Sijaoa,ila labda mwakani. Siko perfect kama binadamu wengi duniani. Haya ni mapito tu. Wapo wenye ndoa wengi wanacheat

kuoa mwakani? Kwa iyo tabia yako je umejiandaa kua mume bora na baba bora? Kumbuka muonja haonji mara moja...!
 
Back
Top Bottom