chlorine gas
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 2,540
- 2,683
Asee nimeumia sirudii tena kushika simu ya demu ,kuchapiwa kunauma jamani mke anauma , aseee mbudya kunanihusu nikapoteza mawazo
Mke wako au dem wako? Sijaelewa badoAsee nmeumia sirudiii tena kushika cm ya demu ,kuchapiwa kunauma jaman mke anauma , aseee mbudya kunanihusu nikapoteza mawazo
Hahahah usirudie tena. Kama ulikuwa unajijua huna kifua cha kuvumilia kwann uliangalia? Kama unaona kuna mabadiliko kwa mkeo muulize kwa akili.Asee nmeumia sirudiii tena kushika cm ya demu ,kuchapiwa kunauma jaman mke anauma , aseee mbudya kunanihusu nikapoteza mawazo
Mkuu acha tu ,,,asee nlikua natekeleza kale ka msemo abiria chunga mzigo wako nmekoma sirudiiiUlikuwa hujui tumesema sana humu labda tu uwe unatafuta sababu ya kumwacha
Sasa ntampa mpaka njegere na atakula tu sio kwa nliyoyashuhudia kwenye messagessungura nipe karoti maharage sijazoeaaaa iokote
MkeM
Mke wako au dem wako? Sijaelewa bado
Nlifanya ambush ktk harakati za kuchunga mzgo nlichokutna nacho cna hamuHahahah usirudie tena. Kama ulikuwa unajijua huna kifua cha kuvumilia kwann uliangalia? Kama unaona kuna mabadiliko kwa mkeo muulize kwa akili.
Mme wako unagopa nn.. Akifanya ujinga unamtandika, sijui wanaume wenzangu mmekuwaje.. Simama imara usiwe legelegeAsee nmeumia sirudiii tena kushika cm ya demu ,kuchapiwa kunauma jaman mke anauma , aseee mbudya kunanihusu nikapoteza mawazo


kama ni upande mmoja sio mbaya maana uli mkuta kasha chapwa so endeleza lig tuBaba haijarishi yaan messages za ufuska na yupo huru sana mm nko mbali nae nmekuja likizo sasa kushika cm duuu wanawake kiboko napiga chin *****kachapwa pande zotekama ni upande mmoja sio mbaya maana uli mkuta kasha chapwa so endeleza lig tu
Nkipiga ntaua mana najijua hii mikono yangu ni balaa kutokana na materials nnayokula adhabu nliyompa inamtoshaMme wako unagopa nn.. Akifanya ujinga unamtandika, sijui wanaume wenzangu mmekuwaje.. Simama imara usiwe legelege
Mkuu mpe ushauri acha kumsimanga mwenziosungura nipe karoti maharage sijazoeaaaa iokote
Kijana wangu bora umemjua kuwa ni kicheche na uwe makini sanaAsee nmeumia sirudiii tena kushika cm ya demu ,kuchapiwa kunauma jaman mke anauma , aseee mbudya kunanihusu nikapoteza mawazo
Jamii forum imekuja kuaje?mtu anaomba ushauri anasononeka nafsi yake,anaumia nafsi yake badala uchukulie tatizo la mwenzako Kama lako then umshauri unaanza kumcheka na kumdhihaki why? But nimekuja kugundu wengi wanao comment ujinga kwenye swala la muhimu na la serious wote ni mabachela so anachukulia Kama mwenza kalambiwa girl friend. Mke syo girlfriend, mke ni zaidi ya girlfriend na ni sehemu ya maisha yako .Mkuu mpe ushauri acha kumsimanga mwenzio