Nimekoma kuingiza Malaya ndani ya nyumba,never again

Mie nawapa hela yao mapema kama anavyotaka, na akileta ujuaji/konakona nyingi huwa sibishani nae namwambia vaa toka.

Mara nyingi huwa wanajiumauma hapo.. kuondoka anataka, kubaki anataka.

Wanaogopa sana mtu akupe hela alafu asikusumbue kukubandua, wanajua kuna kitu utakuja kumfanya hapo baadae.
 
Yani nakwambia lle varangt mbna nilitaman hata nimpe Hela Ili atulie lakin ndo ivo tayar nlikwa nimesh mpandsh hasira. Ila nimejifunz wale watu siwakubishn nao Bora akudhulum aend yaish
 
Wewe ni mjinga.

Mimi hata Demu nisie na plan nae havuki kizingiti Cha mlango wangu.

Mishe zote huko huko gesti.

Nyumbani kwako ni mahali patakatifu japo ni wewe ni mchafu.

Umeshaleta mabala, minuksi, mikosi, laana nyumbani kwako

Hio nyumba itakaswe.
 
Back
Top Bottom