Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,359
Itakuwa wewe ndio mumeweUlitaka kuandika nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hatariUlitaka kuandika nini?
😳😳😳😳😳Nimehamia mjini so Sina nyumba ya kuishi so kukodi ni lazima nimeleta na maza ili asiboreke kijijini nyumba ni self tu nzuri ya kawaida so Kuna zenye room mbili yenye kila kitu wanaishi wenye familia kubwa .
Sokuna huyo dad's kaolewa juzi kapata familia yake meaning kajifungua huyo dada anahisi kuwa nipo na jamaa yake Kisa ananisalimia Kwa furaha so shida ipo hapo .
Wanaume za watu Mimi kweli ni na chukiaga kulala nao maana ni nuksi unazuiwa kuoolewa Kwa urahisi .
Basi aka chukua Uzi wanguo yangu akapeleka Kwa fundi wake akaanza kuniloga basi Kwa maji na chumvi za maombezi na kutonywakwenye ndoto .
Nikaona huyu mtu ananiletea ushuzi nikakata ukaribu naye.
Basi alianza visa nimeanika nguo aniwekea vizuri na kuniwekea pini zake Tena kwenye nguo ambazo ni nzuri.
Pili anakuja kuwashia mkaa karibu na dirisha langu.
Sasa mume anagari la kimaskini vibalooni vya kisasa ml 9 hujengi walakufungua biashara ya maana mie nitembee naye kweli ??
Niache watu na hela zao nikatembee na vishoia vinapanga vimezalia kwenye nyumba za wanaume wenzio
Mi nataka nimfuate nimpigee .
Haiwezekani aniandame hivi Kisa watu wengine ndio wanamzunguka hao hao ndio wanamla kikulacho kipo nguoni mwake naweza kumla mume wa mtu kweli????
Miaka 55Unique Flower naomba kujua umri wako tafadhali.
Mume wa mtu ni madhiwa wewe, acha tabia za kuponda watu wakati wewe ni kawaida tu ndio maana umepanga apartment.Nimehamia mjini so Sina nyumba ya kuishi so kukodi ni lazima nimeleta na maza ili asiboreke kijijini nyumba ni self tu nzuri ya kawaida so Kuna zenye room mbili yenye kila kitu wanaishi wenye familia kubwa .
Sokuna huyo dad's kaolewa juzi kapata familia yake meaning kajifungua huyo dada anahisi kuwa nipo na jamaa yake Kisa ananisalimia Kwa furaha so shida ipo hapo .
Wanaume za watu Mimi kweli ni na chukiaga kulala nao maana ni nuksi unazuiwa kuoolewa Kwa urahisi .
Basi aka chukua Uzi wanguo yangu akapeleka Kwa fundi wake akaanza kuniloga basi Kwa maji na chumvi za maombezi na kutonywakwenye ndoto .
Nikaona huyu mtu ananiletea ushuzi nikakata ukaribu naye.
Basi alianza visa nimeanika nguo aniwekea vizuri na kuniwekea pini zake Tena kwenye nguo ambazo ni nzuri.
Pili anakuja kuwashia mkaa karibu na dirisha langu.
Sasa mume anagari la kimaskini vibalooni vya kisasa ml 9 hujengi walakufungua biashara ya maana mie nitembee naye kweli ??
Niache watu na hela zao nikatembee na vishoia vinapanga vimezalia kwenye nyumba za wanaume wenzio
Mi nataka nimfuate nimpigee .
Haiwezekani aniandame hivi Kisa watu wengine ndio wanamzunguka hao hao ndio wanamla kikulacho kipo nguoni mwake naweza kumla mume wa mtu kweli????
Nimeandika upya soma TenaHadithi yako haieleweki vizuri dada. Unaonaje ukipunguza jazba halafu ukaandika upya??
Shenzi tu mume wa mnyama nafuu yaani anitafute mume mwenyewe kapinda kiunoMume wa mtu ni madhiwa wewe, acha tabia za kuponda watu wakati wewe ni kawaida tu ndio maana umepanga apartment.
Kwakuwa umevurugwa wacha nikuwwke spare kwa leo, ila maisha ya kuponda watu siyo, hata Bodaboda ukimpenda wewe MPE tu akubinuwe hakuna formula kwenye mapenzi.
Nilikuwa naishi Kisongo , Sasa huko ndio kwetu halafu sasa nikaona ipo mbali na kazi ninayoifanya so nikahamia karibu ya mji ili niwe naingia usafiri mmoja so nipo mjini kati sio mbali Tenaulikua unaishi wapi na umehamia wapi ili tukupe ushauri kulingana nawatu wasehemu husika jinsi yakuishi nao dadaetu?
Wakawaida wewe unanijua kama Mimi niwakawaida ???Mume wa mtu ni madhiwa wewe, acha tabia za kuponda watu wakati wewe ni kawaida tu ndio maana umepanga apartment.
Kwakuwa umevurugwa wacha nikuwwke spare kwa leo, ila maisha ya kuponda watu siyo, hata Bodaboda ukimpenda wewe MPE tu akubinuwe hakuna formula kwenye mapenzi.