Nimekataliwa Research proposal mara tano, kuwa zimeshafanyika. Naomba nisaidiwe research tittle

Hakika chief mi supervisor wangu alisema tatu tuu zikizidi inaweza kuwa research kubwa sana na page nyingi.... Hvyo kwa research question tatu niliandika page 65

Mimi mwenyewe nimeshangaa sana. RQs 15?
 
I think this is reseach in education and this is always done from serious universities like UDSM, SUA, MZUMBE etc and mostly they are very strict and complecated!

Try to seat down and find any dificulties you have passed/faced in education.

Questions should be bassed on
What is the aim of reseach
What is I have chosen such reseach title
What are the purpose of reseach in your society
What is competitive advantages of that reseach
And final the eefect of that reseach.
Ukichaa mtupu!!

Hapo wala hakuna cha serious university wala kata university, kama research zinafanywa ili kujaza tu blaah blaah 's na ku submitt ili a-graduate.

No wonder huko kwenye mashalves ya hao wanaojiita maprofesa pamejaa nonsense na upupu unaoitwa research.

Imagine, a university student hawezi hata kutafuta research proposal , anababaika tu.

Kama huwezi kuelewa hata areas of research unafanya nini chuo?? i mean hiyo elimu yako inatumika kufanya kitu gani?? kusubiria kuajiriwa na kutafuna mishahara???

Inashangaza!
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Mkuu pole sana. Ila sijakuelewa naomba ufafanuzi niweze na mimi kishauri. Kilichokataliwa ni research tittle au research proposal? Kama tittle ilishakubalika ilikuwaje wakatae proposal? Nafikiri Mkuu hapo umekosea au umechanganya mambo. Na je huna supervisor wa kukupa maelekezo? Nahisi umechanganya na ule mfumo wa kuangalia maneno uliyocopy yasizidi asilimia 30. Kama ni huo mfumo lazima ukidhi matakwa yake. Kuwa wazi uweze kushauriwa au mtumie supervisor wako ipasavyo
 
Unapelekaje research proposal wakat hata title tu bado haijakubaliwa, chuon kwetu kulikuwa kuna utaratibu wa kupeleka vipengele vya mwanza hasa research title hiyo inapelekwa peke yake ikikubalika ndio unaendelea mbele.
 
Tumeanza mkuu ila bado wanasema problems are already known
OK. Basi tafuta problem ambayo itakuwa unique. Take your time, na fikiria zaidi. Bado una muda wa kupata problem na kuiandikia proposal, V semester bado mbichi kabisa.

Naona unachukua degree ya education. Take this as a problem, "Does the teaching staff's experience affect student's performance in secondary schools?". Hili ni jambo ambalo limewahi kuliwaza kipindi fulani na sijalipatia ufumbuzi.
 
Mimi ni mwanafunzi wa University ni mwaka wa 3 nimekataliwa research proposal Mara 5, naombeni msaada wa research title kila awamu naambiwa problem is already known Sasa hadi nashindwa kujua kwanini, Kwa Sasa nilikua na wazo la English as medium of instruction Kwa jinsi inavyo athiri performance za wanafunzi ordinary level. Asanteni Kwa wale wazoefu waniwekee Sawa hii kitu nipumzike..
Assessment of student performance in English in relation to study materials
 
Kwa research topics nenda site hii quetia.com kuna publications nyingi sana kwa topic mbali mbali
 
I think this is reseach in education and this is always done from serious universities like UDSM, SUA, MZUMBE etc and mostly they are very strict and complecated!

Try to seat down and find any dificulties you have passed/faced in education.

Questions should be bassed on
What is the aim of reseach
What is I have chosen such reseach title
What are the purpose of reseach in your society
What is competitive advantages of that reseach
And final the eefect of that reseach.
Tuache dhana ya kuwa mwalimu akikusumbua sana ndio unatoka.zile tabia za walimu wa kibongo,anakufundisha hivi alafu anakuja tupia beyond the topic.
Huyo mwalimu ana matatizo binafsi.kwa ngazi ya bachelor mwanafunzi anatakiwe ajue vizuri jinsi ya kufanya research I maen mwanafunzi aelewe kuconduct research na pia aweze kugraduate as one of the purpose of the research.sio lazima itatue tatizo
 
Kwa huu mtindo wa kupewa, utakataliwa hata zikifika 10,000.
Jitambue ufanye unachokitambua.

Back
Top Bottom