filis
JF-Expert Member
- Aug 25, 2017
- 323
- 263
Hahahahaha pole kwa kuokota okotaYanii nlikuwa nimefikiria na kuplan vitu vingi sana juu yakee...sasa ghafla leo tupo mchezoni mtu kainama naona 0713... Inatema feaces aiseeee hamuu ikaniishia kabisaa..!! Atanisamehee tuu maana namuacha kimya kimyaa apambane na maisha yake yani bila hurumaaa...[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji27] [emoji27] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]