Haludzedzele
JF-Expert Member
- Nov 22, 2012
- 1,477
- 534
Unapingwa kweli maana kuna mingine inaandikwa kimagumashi sana!Hongera mkuu. Wosia sio uchuro.
In fact ni part and parcel of long time planning.
Kumbuka kuandika kitaalam mkuu, ndugu wasije wakaupinga mahakamani kuwa ni wosia defective.
Ndio hapa tamaa zinapodhihirika. Wale tusioamini kama mafanikio kupitia urithi siwezi pata shida hata kama sijatajwa kabisa. Urithi usaidie watoto/vijana na mjane sio jitu zima na familia yake anasubiri urithi.Unapingwa kweli maana kuna mingine inaandikwa kimagumashi sana!
Huyu jogi ameongea kwa mtizamo wa kina sana.Hakika mkuu hujaeleweka. Fafanua zaidi.
Umenikumbusha incidence moja ambayo kijana mmoja aliyekuwa akiishi na mwanamke na wakapata mtoto mmoja mdogo.Ukifa ndio rangi za nduguzo huonekana
Hakuna atakayejali wanao. Kama mkeo aisee.....
Heri umeona mbali
Sent using Jamii Forums mobile app
Lazima uende Rita?Mkuu nakuunga mkono
Mimi mwaka Jana nilianzisha swala Hilo nikaandika kabisa wosia pale Rita, ilikuwa imebaki kuwaita mashaihidi tu nimalize kazi, bahati mbaya nikapata safari, mambo yote yakaharibika
Kwa izi huu naenda kuanza upya mchakato this time hadi nimalize kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah ni mkasa wakusikitisha sana.Umenikumbusha incidence moja ambayo kijana mmoja aliyekuwa akiishi na mwanamke na wakapata mtoto mmoja mdogo.
Kijana alifanikiwa kimaisha, akapata mali kadhaa akamnunulia mkewe gari, na akiwa na magari mengine ya biashara.
Alifariki ghafla, nadhani ilikuwa stroke...baada ya hapo ndugu wa upande wa mume hawakujali kuwa ndugu yao ameacha mtoto mdogo. Walichukua gari alilonunuliwa mke, wakauza lori gari la biashara...na bado wakaenda mahakamani kupinga yule mama asiteuliwa kama msimamizi wa mirathi.
Hapo ndipo niliona rangi halisi za watu. Nikajiuliza sana.. Hao ndugu za marehemu why hawamjali walau mtoto aliyeachwa na marehemu? Wanataka kuchukua everything.
Muombe mwenyeziHakika mkuu hujaeleweka. Fafanua zaidi.
Je hujawahi kushuhudia mayatima wakitunzwa na ndugu wa marehemu?Hapana,sio!unajua sisi tuliosoma risks management muda wote tunafikiria how you can minimize risks. Ni kuchukua tahadhari na kuwaondolea watu usumbufu usio na sababu.
Wosia maridadi unazingatia kila anayestahili bila kujali mahusiano yenu kuwa mazuri au lah,unazingatia hali na kila mfaidikaji. Kama mke statumia vibaya mali ni juu yake,kwa maana hata mke malaya na mpenda starehe anayo haki ya kupata chake kama alivyo na haki ya kugawana mkiachana.
Binadamu haaminiki,tunajidahidi kuishi vizuri lakini tumeshuhudia watu wakigeukana hasa waliokuwa wamemuheshimu kuwa amefariki.
Unaishije na mwanamke? Fuata utaratibu ambao Jamii imejiwekea, mikosi mingine tunajitakiaga na kusababisha watu hasa ndugu waonekane wabaya!!Umenikumbusha incidence moja ambayo kijana mmoja aliyekuwa akiishi na mwanamke na wakapata mtoto mmoja mdogo.
Kijana alifanikiwa kimaisha, akapata mali kadhaa akamnunulia mkewe gari, na akiwa na magari mengine ya biashara.
Alifariki ghafla, nadhani ilikuwa stroke...baada ya hapo ndugu wa upande wa mume hawakujali kuwa ndugu yao ameacha mtoto mdogo. Walichukua gari alilonunuliwa mke, wakauza lori gari la biashara...na bado wakaenda mahakamani kupinga yule mama asiteuliwa kama msimamizi wa mirathi.
Hapo ndipo niliona rangi halisi za watu. Nikajiuliza sana.. Hao ndugu za marehemu why hawamjali walau mtoto aliyeachwa na marehemu? Wanataka kuchukua everything.
Mjane unamsaidia vipi wakati capital yake (mbunye)unamuacha nayo?Ndio hapa tamaa zinapodhihirika. Wale tusioamini kama mafanikio kupitia urithi siwezi pata shida hata kama sijatajwa kabisa. Urithi usaidie watoto/vijana na mjane sio jitu zima na familia yake anasubiri urithi.
Ndio hapa tamaa zinapodhihirika. Wale tusioamini kama mafanikio kupitia urithi siwezi pata shida hata kama sijatajwa kabisa. Urithi usaidie watoto/vijana na mjane sio jitu zima na familia yake anasubiri urithi.
Ni kujilisha upepo, tazama yote ni ubatiliMkuu huku kuna ambao wameshadhulumu mali za wajane. Usidhani watasapoti hii kitu. Ingekuwa tunatafuta mali kwa ajili yetu sisi tu tusingejenga maghorofa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haaaaa haaaaa eti mbunye unamuachia. Kwani mkuu wewe mali unatafuta peke yako? Lakini sheria imemtambua vizuri tuMjane unamsaidia vipi wakati capital yake (mbunye)unamuacha nayo?
Sisi tunaoamini katika uzima wa milele hatutishwi tishwi na mauti maana tujapokufa tutaishi na kama hivyo vijimali si kitu, hakika twauendea mji ambao mali zake haziliwi na kutu wa nondo TAMANI FAMILIA YAKO WAWE SEHEMU YA MALI HIZO.
Sheria haijawahi kutatua matatizo ya dunia hii!!!Haaaaa haaaaa eti mbunye unamuachia. Kwani mkuu wewe mali unatafuta peke yako? Lakini sheria imemtambua vizuri tu
Lakini huwezi kuipuuza kwa sababu imekuja kuweka usawa na namna bora ya kuishi ikisaidiana na Vitabu vya dini. Lakini suala la ushiriki wake kwenye kutafuta mali hujalijibu mkuuSheria haijawahi kutatua matatizo ya dunia hii!!!
Ni makosa makubwa sana kuiishi dhana ya kuishi ili ule!
Wajanja wote tunakula ili tuishi.
Vitabu vya dini vinaelekeza kuwa Mungu aliimilikisha hii dunia kwa mtu MUME!Lakini huwezi kuipuuza kwa sababu imekuja kuweka usawa na namna bora ya kuishi ikisaidiana na Vitabu vya dini. Lakini suala la ushiriki wake kwenye kutafuta mali hujalijibu mkuu
Mke a deo filikunjombe kaporwa Mali na shemeji zake huku ana watoto w3, sembuse walalahoi sisi. Wosia ni muhimu sana katika maisha haya.Unaishije na mwanamke? Fuata utaratibu ambao Jamii imejiwekea, mikosi mingine tunajitakiaga na kusababisha watu hasa ndugu waonekane wabaya!!
Ndoa huthibitisha uhalali wa mtoto kwenye familia/ukoo, vinginevyo hiyo familia isilaumiwe saaana kwa hiyari ya mioyo yao.
N.B Musa alilelewa vema tu katika hali ya kuokotwa.
Hapana si lazima ila kesi nyingi za mirathi huwa zinaenda Kule, nikaona ni bora nideal nao maana Wana huduma hiyo pia