Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,176
- 138,443
Ushauri mzuri mkuu,Hongera mkuu. Wosia sio uchuro.
In fact ni part and parcel of long time planning.
Kumbuka kuandika kitaalam mkuu, ndugu wasije wakaupinga mahakamani kuwa ni wosia defective.
Tushauri Basi mkuu kitaalam inakuwaje? Wengi tunapenda kuandika wosia sasaHongera mkuu. Wosia sio uchuro.
In fact ni part and parcel of long time planning.
Kumbuka kuandika kitaalam mkuu, ndugu wasije wakaupinga mahakamani kuwa ni wosia defective.
Kwa miaka kadhaa nimekuwa nikisitasita kuandika wosia kuacha kidogo nilichonacho kwenye mikono salama.
Kwa wakati wote huu nimekuwa nikipata sababu za msingi na haja ya kuandika wosia.
Nimeishi katika migogoro kadhaa ya mirathi ama ya ndugu au jamaa na nimejionea mwenyewe umuhimu wa kuacha maandishi ukimilikisha watoto na mke na madeni.
Nimehuzunika sana hasa naposhuhudia mabinti wa kike wakidhurumiwa mali na ndugu wa marehemu. Inauma watoto waliokuwa wakiishi maisha mazuri shule nzuri wanapoanza kutangatanga baada ya baba kufariki.
Kila napokatazama kafamilia kangu kadogo mawazo haya yananiijia,hawa si watateseka sana nisipoacha wosia? Tumeanza wote maisha,Mungu amejaalia tunazo mali za kushikika,sina sababu za kuwaacha kwenye mtanziko.
Katika mirathi nyingi ndugu wamekuwa wanyama sana,tena wengine wakiwa na vipato vyao ajabu wanaangaika na mali za marehemu.
Nawashauri vijana wenzangu mtoke kwenye imani za uongo eti ukiandika wosia unajichulia kifo,hapana! Ukishakuwa na nyumba,ardhi,usafiri,akaunti na biashara,andika nyaraka itakayowazuiwa kamati ya roho mbaya kusumbua familia yako siku ikitangulia.
Naandika wosia,nataka familia yangu ifurahi siku nikifa
Hakika mkuu hujaeleweka. Fafanua zaidi.Huwezi kufa ukawa unaishi!
Upo uwezekano kuwa umejitenga na familia yako ndio maana unadhani vimali ulivyonavyo ni furaha vyenyewe kama vyenyewe au vinaweza kusababisha muendelezo wa furaha kwa watoto na mke wako pale wewe unapokuwa out of equation (dead)
Elewa:-
Ukifa mkeo hatapata faraja ya kingono toka kwako! Ukipafikiria sana utaona hupaswi kuhangaika na dunia uliyoiacha.
Hako kagari kakishakuwa juu ya mawe mkeo atadandia mchuma mwingine ambao utakuwa furaha kwake (sijui kama wafurahia hili) na atakayekuwa anamfurahisha mkeo anaweza kuwa mtesi mkuu wa wanao na mtapanya mali ulizoacha!
Kwa kuwa nyumba yako itapungukiwa joto lako inaweza ikauzwa tu, wanao kutangatanga kukawa palepale!
Ubaya ninaousemea ni huu unaojaribu kujiaminisha kuwa jamii yako woooote ni adui wa familia yako.
"Wachache watanielewa" (kama ambavyo weeeeengi hawakumuelewa Yesu kristo)
Daaah! fact aisee mwanamke akili zake anazijua mwenyeweHuwezi kufa ukawa unaishi!

Amezungumza kwa hekima ndiyo maana hujamuelewa. Yaani wewe adha yako ya kuandika wosia mapema inaashiria kwamba jamii iliyokuzunguka haswa ndugu zako potentially ni wadhulumati vis-a-vis mkeo na wanao. That's the wrong reason. Sasa hebu mwambie mkeo naye aandike wosia halafu mfanye comparison.Hakika mkuu hujaeleweka. Fafanua zaidi.
Hapana,sio!unajua sisi tuliosoma risks management muda wote tunafikiria how you can minimize risks. Ni kuchukua tahadhari na kuwaondolea watu usumbufu usio na sababu.Amezungumza kwa hekima ndiyo maana hujamuelewa. Yaani wewe adha yako ya kuandika wosia mapema inaashiria kwamba jamii iliyokuzunguka haswa ndugu zako potentially ni wadhulumati vis-a-vis mkeo na wanao. That's the wrong reason. Sasa hebu mwambie mkeo naye aandike wosia halafu mfanye comparison.
Nipe uelewa zaidi,hivi na wanawake huwa wanaandika wosia ukiwa ataacha mume na watoto?
Mkuu nakuunga mkonoKwa miaka kadhaa nimekuwa nikisitasita kuandika wosia kuacha kidogo nilichonacho kwenye mikono salama.
Kwa wakati wote huu nimekuwa nikipata sababu za msingi na haja ya kuandika wosia.
Nimeishi katika migogoro kadhaa ya mirathi ama ya ndugu au jamaa na nimejionea mwenyewe umuhimu wa kuacha maandishi ukimilikisha watoto na mke na madeni.
Nimehuzunika sana hasa naposhuhudia mabinti wa kike wakidhurumiwa mali na ndugu wa marehemu. Inauma watoto waliokuwa wakiishi maisha mazuri shule nzuri wanapoanza kutangatanga baada ya baba kufariki.
Kila napokatazama kafamilia kangu kadogo mawazo haya yananiijia,hawa si watateseka sana nisipoacha wosia? Tumeanza wote maisha,Mungu amejaalia tunazo mali za kushikika,sina sababu za kuwaacha kwenye mtanziko.
Katika mirathi nyingi ndugu wamekuwa wanyama sana,tena wengine wakiwa na vipato vyao ajabu wanaangaika na mali za marehemu.
Nawashauri vijana wenzangu mtoke kwenye imani za uongo eti ukiandika wosia unajichulia kifo,hapana! Ukishakuwa na nyumba,ardhi,usafiri,akaunti na biashara,andika nyaraka itakayowazuiwa kamati ya roho mbaya kusumbua familia yako siku ikitangulia.
Naandika wosia,nataka familia yangu ifurahi siku nikifa
Huwezi kufa ukawa unaishi!
Upo uwezekano kuwa umejitenga na familia yako ndio maana unadhani vimali ulivyonavyo ni furaha vyenyewe kama vyenyewe au vinaweza kusababisha muendelezo wa furaha kwa watoto na mke wako pale wewe unapokuwa out of equation (dead)
Elewa:-
Ukifa mkeo hatapata faraja ya kingono toka kwako! Ukipafikiria sana utaona hupaswi kuhangaika na dunia uliyoiacha.
Hako kagari kakishakuwa juu ya mawe mkeo atadandia mchuma mwingine ambao utakuwa furaha kwake (sijui kama wafurahia hili) na atakayekuwa anamfurahisha mkeo anaweza kuwa mtesi mkuu wa wanao na mtapanya mali ulizoacha!
Kwa kuwa nyumba yako itapungukiwa joto lako inaweza ikauzwa tu, wanao kutangatanga kukawa palepale!
Ubaya ninaousemea ni huu unaojaribu kujiaminisha kuwa jamii yako woooote ni adui wa familia yako.
"Wachache watanielewa" (kama ambavyo weeeeengi hawakumuelewa Yesu kristo)
Hayo yoote uliyosema yanaweza yakatokea kweli, ila haimaanishi kuwa tusichukue tahadhari au jitihadaHuwezi kufa ukawa unaishi!
Upo uwezekano kuwa umejitenga na familia yako ndio maana unadhani vimali ulivyonavyo ni furaha vyenyewe kama vyenyewe au vinaweza kusababisha muendelezo wa furaha kwa watoto na mke wako pale wewe unapokuwa out of equation (dead)
Elewa:-
Ukifa mkeo hatapata faraja ya kingono toka kwako! Ukipafikiria sana utaona hupaswi kuhangaika na dunia uliyoiacha.
Hako kagari kakishakuwa juu ya mawe mkeo atadandia mchuma mwingine ambao utakuwa furaha kwake (sijui kama wafurahia hili) na atakayekuwa anamfurahisha mkeo anaweza kuwa mtesi mkuu wa wanao na mtapanya mali ulizoacha!
Kwa kuwa nyumba yako itapungukiwa joto lako inaweza ikauzwa tu, wanao kutangatanga kukawa palepale!
Ubaya ninaousemea ni huu unaojaribu kujiaminisha kuwa jamii yako woooote ni adui wa familia yako.
"Wachache watanielewa" (kama ambavyo weeeeengi hawakumuelewa Yesu kristo)
Umezungumza jambo la hekima sana. Wosia pia unaweka wazi mali zako hata zilizo mikononi mwa watu wengine. Niliwahi kuwa na dingi mkubwa 2005 akafariki. Alishaachana na mke kitambo akawa anabadili vimada tu. Alikuwa na utajiri sana na shares na partership kwenye makambuni. Alipofariki ilileta usumbufu,mali zilipotea sana,watoto maisha wanayoishi leo hawakuwa wanastahiliJe mkifa wote na mwanamke kwa pamoja inakuaje? Imagine mmekufa wote kwenye ajali.
Sent using Jamii Forums mobile app