SHADOWANGEL
JF-Expert Member
- Sep 15, 2014
- 528
- 354
FD,
Exactly! this is going Nungwi type............
Mtoa mada, alijaribu kujustify nguvu ya JM ndani ya CCM na baadaye kudadisi kama anayaona na kama anaweza kuingilia kati suala la umeme PERIOD.
hayo ni maoni ya mtoa mada, na haimaanishi JM kuwa mhusika mkuu hapa na kulaumiwa..........
Shistuka wewe huyo jamaa ulieenda nae ndio kashajichukulia demu, we si mshamba mshamba
Mi kwa busara nadhani usimgepost humu maana anakung'ong'a humu humu
Lol aisee unachezea shilingi chooni nafasi za wawili izo ata kulia ningelia mradi Nile mzigo dem akinikalibisha kwake ni siku ya kwanza utakiwi kwenda na mtu ni we na ye tuu apo ndo unapoitwa mpira Dakika TISINI NI KUCHEZA NA SAIKOLOJIA TUU MPAKA UNAKULA MZIGO..... KWA KUWA UMEPITEZA NAFASI NI PM NAMBA YAKE NA JINA TUU... MENGINE NITAJUA
Hana android huyo demu. Hawezi ipata hii thread
Ulitakiwa umfukuze rafiki yako aondoke
Haya, yaweza kuwa maigizo tu ili umnunulie ukitoka, anawasha smart yake ya maana, any way waslimu R chuga mkuu
Hata siwezi kukupa namba yake. Nitamrekebisha jeuri yake
Waswaili wanasema kizuri Kula na nduguyo..na jambo ukiwa uliwezi usiwe mchoyo Sema nikusaidie ili ule faida za uyo Mtoto kama shemeji yako
Umepewa mwaliko ushaanza kuweweseka kijana tuliza kichwa na wewe ikiwezekana inabidi utoe mwaliko ili aje aone getto lako msela
Anasubiri na wewe umwalike, ili naye aje na rafikiye kuja kufidia matumizi ya mlivyotumia kwake.
huhu mwenda kupiga vizinga kama madem
hahahha huyu ndo wale unamwambia nataka nikutoe lunch anakuja na kundi la marafiki hahahahah ungashmabna ni shingida looooh
Embuu waambie...mtu kaweka bajet ya mtu mmoja ww unakuja na rafik. Tena mwngne anabeba kundi kabisa la marafiki
Hii tabia mara nyingi wanayo watoto wa kike sijui msela nae kaicopy huko yakualikwa mahali afu unaenda na rafikio.... Tabia ya kishenzi sana