Sosthenes Maendeleo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 2,743
- 1,735
.....amesikia wewe ni dalali hivyo anataka umtafutie nyumba yenye chumba na sebule
Tumejua bibie alikupa soda na alideki na kitanda alitandika.
Umekaribishwa wewe unabeba na marafiki. Huu ushamba tutaacha lini?? Marafiki mnaongozana kila sehemu. You need to grow up.
Well, nilidhani ww Dalali maana ukimuita dalali lazima aje na mwenzake.
My bad, next time usiongozane na mtu unapokaribishwa na mchuchu
"Nyuki wa canteen kazi kula sukari tu"
Na wewe mkaribishe ghetoni kwako
Niinbox namba yako basi
Tatizo ukipewa no unakuja na rafiki yako...utaendaje kwa demu na rafiki unakuwa kama bata maji.
Umekaribishwa wewe unabeba na marafiki. Huu ushamba tutaacha lini?? Marafiki mnaongozana kila sehemu. You need to grow up.
sijawahi fanya umburula kama huo ktk maisha yangu mara zote nlizo itwaga na madem........
maan nkishakuwa in privancy na mwandadaa,,,kesho lazma ataandaa tena.....na kuwaga fasta kama vampire......
grow up....umemuonyesha utoto wa hali ya juu..
anaweza asikuite tena ama akikwta na yy atakuwa na kidume kingne ama na rafk ake na yeye...
pole for missing the target