No siitumii bali nimeacha email ili nitumie messenger
Huyu hatumwamini tena ashatudanganya.Wewe umesema huna account Fb
Wewe umesema huna account Fb
Huyu hatumwamini tena ashatudanganya.
Hahahahaaaaa lengo lake baadae akikwambia ana mwaka wa saba tangu amalize chuo hajapata kazi usisikitike. Muelewe tuU r most welcome. Lakini mkuu si ungeandika kwa kiswahili tu...
Dah...na akaunti ataifungaVery soon Hiyo sura itabadilika itakuwa km ya GuDume
Dah....Wanasayansi ni washamba mkuu
Dah...kumbe anaongeza data tu kwenye makabrasha ya wazeeHahahahaha dah dogo alitaka kujifanya anajua sana ?
ni Mimi nfiyeKama kwenye avatar ndo wewe
Napenda kukwambia umependeza & u look so innocent
You like to join this community!Am A real Man fro malampaka now student mzumbe university, healh sydtems management, i like to join this community
Atasepa tu na iyo lugha yakeJf sio kama fb,mwenyewe utaona tofauti soon
Dogo anaiabisha SayansiDah....