Nimejitosa kwa jimama tatizo lake bahili kupindukia!

Wakuu naombeni msiniseme hovyo.katika zunguka zangu za kimaisha nilikutana na jimama moja ambalo kiukweli lilinipenda sana.Nikalichunguza na kugundua lina mikwanja ya ukweli basi nikakubali ombi lake tatizo ni kuwa huwa Ni kipatwa na matatizo hutoa shilingi 5000 tu.Juzi nilimwomba msaada niende kuwajulia hali ndugu zangu DODOMA akanipa elfu saba eti biashara ngumu.Wakati huohuo huitaji mapenzi kila anapojisikia.Je nifanyaje ili niweze kumfanya awe ananipa hela.
wee shida nini, si ulitaka papuchi? Papuchua sasa mpaka kijidushelele chako kikatike
 
Andamana mkuu

Du? mmefufua uzi wa 2011. hata alieuanzisha kapotea jukwaani almost mwaka sasa

User Name: kazuramimba
User Title: Senior Member
Last Activity: 16th September 2013 20:03
 
Wakuu naombeni msiniseme hovyo.katika zunguka zangu za kimaisha nilikutana na jimama moja ambalo kiukweli lilinipenda sana.Nikalichunguza na kugundua lina mikwanja ya ukweli basi nikakubali ombi lake tatizo ni kuwa huwa Ni kipatwa na matatizo hutoa shilingi 5000 tu.Juzi nilimwomba msaada niende kuwajulia hali ndugu zangu DODOMA akanipa elfu saba eti biashara ngumu.Wakati huohuo huitaji mapenzi kila anapojisikia.Je nifanyaje ili niweze kumfanya awe ananipa hela.
Halitakupa kamwe kwa sababu unalipaka shombo tu! Likojoze uone kama hatakukabidhi hadi daftari la mahesabu!
 
Ivi huoni tabu kuvuliwa au kulivua jimama nguo? Ivi una shida sana, dhiki zako huweZi kusema nazo, huna elimu, huweZi kuchakarika Kama mtoto wa kiume ukapata pesa mpaka uwe mtumwa wa ngono kwa mama wa mwenzio? Ujana wake alikula nanani mpaka TB akupe wewe ?

"The truth is hard to swallow when you're choking on your pride."
 
Back
Top Bottom