Nimejitosa kwa jimama tatizo lake bahili kupindukia!

Kuwa na msimamo we mwanaume usijilaze kwa majimama angalia unakokwenda..
 
Nimegundua anatokea mkoa wa matonya, hivyo dezo kwake ni kawaida. Jikwamua ungali kijana badala ya kupoteza nguvu kwa jimama. Huo ni mfupa utauweza?
 
Nimesikitika sana na post yako, kweli mwanaume mzima unategemea kuhongwa na jimama! Usikubali kutumika kama comdom, jitahidi kufanya kazi ili iwe msaada kwako. Hilo suala la nani awe mpenzi wako litokane na vigezo vyako na siyo NJAA YAKO, ukiendekeza njaa ipo siku utaolewa kama utakuwa unapewa kila kitu unachokihitaji.
Naona ndicho anachosubiri
 
sasa mtu mwenyewe kashaingia mitini, halafu mnalalamika thread zingine hazina wachangiaji
tafuta kazi bwana acha kujiuza
 
ahahahaaaaaaaaaaaaaaaaa!.....nafikiri angeshukuru hata 5,000 anayopewa...pumbafuuuuuuuuuuuuuuu

Mwajiri pale kwenye kile kibanda chako amwage maji kuondoa vumbi............ajira aliyonayo sio kabisa
 
ama kweli njaa mwanaharamu yaani unadiriki kuuza utu wako kwa ajili ya kungonoka tu ??? duh
 
We ni mkubwa sasa, tafuta njia za kujikwamua ili upate kuishi vizuri na jamii yako. Usipende mtelemko utakuja kupata ngoma ambayo itazima ndoto zako zote.
 
Mwajiri pale kwenye kile kibanda chako amwage maji kuondoa vumbi............ajira aliyonayo sio kabisa

yap!...na hakuna complication za kutuma application he simply come 2 kistone...lakn lazima ajue kung'arisha viatu asije nipotezea wateja,..maake anavyoonekana ni mvivu na mzembe wa kufanya kazi huyu jamaa na ndio maana anataka kila kitu apewe bure
 
Mkuu mbona unadhalilisha uanaume wako yaaani unategemea jimama likulee duh. utamu linakupa halafu unataka likupe pesa tena jamani acheni hayo mambo bhana vijana wenzangu fanyeni kazi kwa bidii mjitegemee hayo si maisha kabisa ni ujinga. unategemea utalea familia kwa kupata pesa za jimama.
 
Wakuu naombeni msiniseme hovyo.katika zunguka zangu za kimaisha nilikutana na jimama moja ambalo kiukweli lilinipenda sana.Nikalichunguza na kugundua lina mikwanja ya ukweli basi nikakubali ombi lake tatizo ni kuwa huwa Ni kipatwa na matatizo hutoa shilingi 5000 tu.Juzi nilimwomba msaada niende kuwajulia hali ndugu zangu DODOMA akanipa elfu saba eti biashara ngumu.Wakati huohuo huitaji mapenzi kila anapojisikia.Je nifanyaje ili niweze kumfanya awe ananipa hela.
Hivi mtu kupigwa ban mpaka atukane?? Basi mimi sifai kuwa MOD maana hii thread ya Kazuramimba nilikuwa namgonga ban permanently
 
yap!...na hakuna complication za kutuma application he simply come 2 kistone...lakn lazima ajue kung'arisha viatu asije nipotezea wateja,..maake anavyoonekana ni mvivu na mzembe wa kufanya kazi huyu jamaa na ndio maana anataka kila kitu apewe bure

Amesahau vya bure vinaua...........kijana legelege
 
Wakuu naombeni msiniseme hovyo.katika zunguka zangu za kimaisha nilikutana na jimama moja ambalo kiukweli lilinipenda sana.Nikalichunguza na kugundua lina mikwanja ya ukweli basi nikakubali ombi lake tatizo ni kuwa huwa Ni kipatwa na matatizo hutoa shilingi 5000 tu.Juzi nilimwomba msaada niende kuwajulia hali ndugu zangu DODOMA akanipa elfu saba eti biashara ngumu.Wakati huohuo huitaji mapenzi kila anapojisikia.Je nifanyaje ili niweze kumfanya awe ananipa hela.
jitahidi kunyonya shimo la masaburi yake vizuri unaingingiza ulimi kwa usitadi natumaini atakuongeza mshiko....
 
Back
Top Bottom