umefika!!! kkaribuu saana mia!!! kumbe we kijana dogo akili mingii eeh!!!mimi ratiba yangu ipo hivi.saa kumi kumi ntakua mzalendo pale millenium tower. saa mbili usiku ntakuwa viwanja vya posta hadi saa sita usiku. kuanzia saa sita usiku hadi saa kumi na mbili asubuhi ntakua maisha club. kwa hiyo fb usiumize kichwa kuhusu kunipa offer ninachotaka naomba uwe mwenyeji wangu na uwe wa kunishika mkono nisiibiwe, nataka vile vile uwe mtu wa kunielekeza jinsi ya kulala. Mia
Hebu msikilize hapa
Sugu Antivirus Link
Hakuna mtu mwenye muda wa kuja kusikiliza matusi. Nenda mwenyewe, wanaJF hawawezi kufika hata mmoja.
nitakupa emil hapa hapa halafu unitumie huko tutakuwa tumemkwepa invisiblehenry mambo hadharani wala hamna sababu ya kupmiana,hujui siku izi invisible anaona pm???
watu wenye akili duniani utawajua tu,wanataka na kutamani mapinduzi halisi ya mwanadamu!!!!cheerzzzzzzzzzzzzzzzzz
Report/Mark as Spam[h=6]Joseph Mbilinyi TAARIFA:ANTI-VIRUS INAZIDI KUPATA MAFANIKIO,KWA MARA YA KWANZA LEO NASKIA SHOW YA WASANII WA NJE INAFANYIWA P.A NA GARI LA MATANGAZO MITAANI,TUMEDHIHIRISHA KUWA HUU MUZIKI NI ZAIDI YA KUWA NA RADIO STATION ...NATOA WITO KWA KITAA NA WANAVYUO WOTE MUWAKATAE NA MATANGAZO YAO...,NOV 26 NI VINEGA CONCERT NDANI YA USTAWI....PERIOD!!! BIG STAGE, BIG SOUND, WITH SO MANY LIGHTS FOR THE NITE!!![/h]
Ili mfahamu mnachokifuata huko..hayo ni maneno ya mh. mbunge!!we mbona kila siku unatulazimisha kumsikiliza kwenye hiyo linki? Yaani wakuda a.k.a wavimba macho utawajua tu!
Hivi ni mbunge gani vile mwenye tumbo kama pipa ambaye nae ni msanii huimbaka hivi, WAPINZANI TUWACHANECHANE TUWATUPEEEEIli mfahamu mnachokifuata huko..hayo ni maneno ya mh. mbunge!!
Hivi ni mbunge gani vile mwenye tumbo kama pipa ambaye nae ni msanii huimbaka hivi, WAPINZANI TUWACHANECHANE TUWATUPEEEE
Kupenda kweli kubaya, kwahiyo matusi ya huyo tumbo kipipa wewe hujayaona! na mtu alieshindwa kuendesha bendi tu ya TOT ili iweze kucompent na Twanga pepeta na Ngwasuma, mtu huyo ndio atawaweza kuwaongoza maelfu ya watu na kuwaletea maendelea?Ulishawahi kumsikia akiganga njaa na kutengeneza uhasama na watu? Unayemsemea anajielewa. Tatizo ni huyu kijana aliyeshinda ubunge kihuruma huruma halafu anaanza kufanya mambo ya ajabu!
Ulishawahi kumsikia akiganga njaa na kutengeneza uhasama na watu? Unayemsemea anajielewa. Tatizo ni huyu kijana aliyeshinda ubunge kihuruma huruma halafu anaanza kufanya mambo ya ajabu!