Nimejitahidi kuwapenda lakini wapi

Nimejitahidi kuwapenda lakini wapi

Kwangu mimi kipini hata aweke kwenye ki.s.i.mi,shanga mguuni na kiunoni sio tatizo. Shida kubwa ambayo hata bo.lo halitasimama ni kunyoa hasa kipara mama weeee!!naweza mtimua kama pwaka mwizi!!!
 
AFRICAN+JEWEL4.jpg

asante tyta,ila hayo mapini daaaaah
 
Kwangu mimi kipini hata aweke kwenye ki.s.i.mi,shanga mguuni na kiunoni sio tatizo. Shida kubwa ambayo hata bo.lo halitasimama ni kunyoa hasa kipara mama weeee!!naweza mtimua kama pwaka mwizi!!!
hahahahahhahaahahahahaaaaaaaaaa
 
Hata mwanamke mwenye kipini huwa namuona wa tofauti sn na siwezi kumtongoza ht awe mzuri km miss neddy
 
Chidi Benzi mwenzio Katoboa pua yake Ili afanane nao kuonyesha jinsi anavyowapenda...kwahiyo kila shetani na mbuyu wake..
 
Kwangu mimi kipini hata aweke kwenye ki.s.i.mi,shanga mguuni na kiunoni sio tatizo. Shida kubwa ambayo hata bo.lo halitasimama ni kunyoa hasa kipara mama weeee!!naweza mtimua kama pwaka mwizi!!!

Hahahahaha!!!Hehehe!!Uwiiiiiiiiiiii!!JF ni mahali patakatifu na wala sijakosea kujiunga
 
kila shetani na mbuyu wake
wa hivyo wana watu wao ambapo hiko kipini ndo kinacho wasisimua....

kuna vidume wanasisimka na wanawake wenye ndevu na wanavuta sigara...

na kuna vidume vinasisimka na wanawake wanao dunda waume zao

utakuta mtu anamtongoza baada ya muda nae anadundwa lakini 'roho kwatu'....

'there are things in life that are very difficult to explain'

Kweli mkuu, kuna Jamaa yng ana mahaba na wasichana wanaomnyima papuchi!
 
Back
Top Bottom