jembe afrika
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,602
- 3,781
Mwanamke mwenye pini puani hata kama angekua mzuri vipi, huwa natamani kutapika hasa wengine wanaweka mapini makubwa yanakua kama kamasi limening'inia,yaan wanaboa na katika uchunguzi wangu wengi utulivu ziro.