RayB
JF-Expert Member
- Nov 27, 2009
- 2,751
- 196
Oosh sasa nimeelewa, manake ilikuwa umenichanganya na kushindwa kuelewa kwani mtiririko wako mzima wa habari haukuwa sawa nadhani ni kutokan na hasira. Nilichanganya kwa kutoajua anayenyonywa ni nani 'mwanamke' au msichana' manake kwa akili yangu ya haraka ilinipelekea kujua kuwa nyumbani mnaishi wanne yaani wewe, cousin wako na 'mwanamke' wako na 'msichana' nikiassume kuwa kwa mazoea ya kibongo unaposema msichana kwa tukio hilo na kwa kuwa ulishatumia mwanamke basi nikajua msichana basi atakuwa ni binti wa kazi.
Sasa baada ya kuelewa ulichokuwa unamaanisha mi naona huyo demu ni bazazi! Yaani kashindwa hata kukusubiria urudi kama ana njaa sana? Hafai hata kulumangila. Na hii inaonyesha wameanza muda hiyo kitu na pengine huwa wananyonyana ingawa unaweza kudhani cousin wetu ni mdogo. Usije kushtakiwa kupiga mzee, we jinyatue tu katika huo uhusiano na ulitoa mahali kachukue chako (kama una risiti lakini!!!!)