Nimejikuta napenda KKKT, nimetazama ibada yao roho kwatu

Kimekuvutia nini mkuu??

Yale majoho waliyovaa viongozi??
Au marumaru ndani ya kanisa??
Au mahubiri yao yalikuwa matamu??

Au umeona nini ??
 
Back
Top Bottom