Edson Carrington
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 216
- 634
Ukiwa na emotional intelegence, ya kutosha napenzi sio lolote au chochote, mapenzi hutesa vijana limbukeni washamba na wenye elimu duni,.........kutawala hisia zako ni kipimo cha akili za mwanaume yoyote usikubali hisia zikutawale uta jiua au kuumia bure........mimi nishindwe kusimamia kazi zangu kisa pisi kali ya miaka 23 eti nimekosa usingizi kisa mwanamke huyu huyu mmakonde thubutu, "Never ever allow any thing to control your life style"Habari wakuu,
Mapenzi ni moja ya nguzo muhimu sana ya maisha yetu ya kila siku, na haijalishi ni aina gani ya mapenzi mtu aliyonayo as long as mapenzi basi ni strong emotion inayoweza kumuongoza mtu kufanya jambo fulani. Haswa na zaidi ni mahusiano ya kimapenzi.
Yupo mtu mmoja aliyewahi kusema mapenzi yana nguvu zaidi ya lori lililobeba tani nyingi za mzigo. Ikimaanisha mapenzi yana nguvu ya kufanya vitu vingi duniani tofauti na ilivyo kawaida kwa binadamu. Takribani miaka 80 iliyopita wanafunzi wa Harvard university walikuja na conclusion kuwa mapenzi ni chanzo kikuu cha furaha ya mwanadamu na wala sio pesa, urembo, umaarufu nk.
Lakini Changamoto kuu na kubwa ya mapenzi haswa ya mtu na mtu ( me na ke ) ni moja tu, kwani ni WIVU. Always mapenzi huja na wivu. Na pia kiwango cha mapenzi kinavyoongezeka na pia kiwango cha wivu kinaongezeka.
Hakuna mapenzi ya kweli yasiyokuwa na wivu, na wala hakuna asiekuwa na wivu kwenye mapenzi pale atakapoona mambo yanaenda tofauti.
Bali tofauti kubwa ni reaction ya mtu fulani juu ya suala hilo.
Mapenzi yana thamani sana kama unavyoona pesa na mali nyingine mbalimbali. Ndio maana watu wapo tayari kutoa mpaka utajiri wao kwa wanaowapenda. Mtu anapokupa moyo wake ni sawa hakuna tofauti na mwajiri anaempa mwajiriwa wake kampuni kubwa kwa ajili ya kuisimamia na kuiendesha. Na inapotokea umefanya usaliti kwa penzi la mtu ni sawa na kufanya usaliti kwenye mali ya kampuni hiyo. Huu ndo mfano hai wa dhamana ya mapenzi.
Kiukweli nimejifunza mengi kuhusiana na mapenzi kutoka kwa walionitangulia lakini kwa hili nimeshindwa kuwaelewa hata kidogo. Je, inakuaje uondoe wivu kwa yule unaempenda?,
Sawa wivu ni kidonda, lakini je nawezaje kuishi bila kuwa na wivu kwa yule niliemweka moyoni?!
Kiukweli sijawahi kupata suluhisho katika hili.
katika mahusianao ya kimapenzi ukiwa na hekima nauelewa mzuri juu ya mahusiano yenyewe,Habari wakuu,

Shauri. Nini afanyeUkiwa na emotional intelegence, ya kutosha napenzi sio lolote au chochote, mapenzi hutesa vijana limbukeni washamba na wenye elimu duni,.........kutawala hisia zako ni kipimo cha akili za mwanaume yoyote usikubali hisia zikutawale uta jiua au kuumia bure........mimi nishindwe kusimamia kazi zangu kisa pisi kali ya miaka 23 eti nimekosa usingizi kisa mwanamke huyu huyu mmakonde thubutu, "Never ever allow any thing to control your life style"
Sio kila anae kuonea wivu anakupenda, wengine ni roho mbaya ili usipate mtu sahihi.......hasa wanawake wivu wao ni ilogical ata mama ako mzazi atamuonea wivu tu.Huwezi kutenganisha wivu na mapenzi. Binafsi mtoto wa mama mkwe akiona sijali tena kuhusu yeye (wivu) basi ajue safari imefikia mwisho.
Otherwise, tutauana.
Nawambia siku zote upendo kiti chake cha kukalia ni wivu upendo hukaa sehemu ya wivu tu Kwa kadri upendo unavoongezeka ndo wivu unavoongezeka ila kiti kikivunjika ambacho ni wivu na upendo unadondoka hakuna upendo tena penzi penzini liko kwenye wivu wivuniHabari wakuu,
Mapenzi ni moja ya nguzo muhimu sana ya maisha yetu ya kila siku, na haijalishi ni aina gani ya mapenzi mtu aliyonayo as long as mapenzi basi ni strong emotion inayoweza kumuongoza mtu kufanya jambo fulani. Haswa na zaidi ni mahusiano ya kimapenzi.
Yupo mtu mmoja aliyewahi kusema mapenzi yana nguvu zaidi ya lori lililobeba tani nyingi za mzigo. Ikimaanisha mapenzi yana nguvu ya kufanya vitu vingi duniani tofauti na ilivyo kawaida kwa binadamu. Takribani miaka 80 iliyopita wanafunzi wa Harvard university walikuja na conclusion kuwa mapenzi ni chanzo kikuu cha furaha ya mwanadamu na wala sio pesa, urembo, umaarufu nk.
Lakini Changamoto kuu na kubwa ya mapenzi haswa ya mtu na mtu ( me na ke ) ni moja tu, kwani ni WIVU. Always mapenzi huja na wivu. Na pia kiwango cha mapenzi kinavyoongezeka na pia kiwango cha wivu kinaongezeka.
Hakuna mapenzi ya kweli yasiyokuwa na wivu, na wala hakuna asiekuwa na wivu kwenye mapenzi pale atakapoona mambo yanaenda tofauti.
Bali tofauti kubwa ni reaction ya mtu fulani juu ya suala hilo.
Mapenzi yana thamani sana kama unavyoona pesa na mali nyingine mbalimbali. Ndio maana watu wapo tayari kutoa mpaka utajiri wao kwa wanaowapenda. Mtu anapokupa moyo wake ni sawa hakuna tofauti na mwajiri anaempa mwajiriwa wake kampuni kubwa kwa ajili ya kuisimamia na kuiendesha. Na inapotokea umefanya usaliti kwa penzi la mtu ni sawa na kufanya usaliti kwenye mali ya kampuni hiyo. Huu ndo mfano hai wa dhamana ya mapenzi.
Kiukweli nimejifunza mengi kuhusiana na mapenzi kutoka kwa walionitangulia lakini kwa hili nimeshindwa kuwaelewa hata kidogo. Je, inakuaje uondoe wivu kwa yule unaempenda?,
Sawa wivu ni kidonda, lakini je nawezaje kuishi bila kuwa na wivu kwa yule niliemweka moyoni?!
Kiukweli sijawahi kupata suluhisho katika hili.
Kwanza asiendeshwe na hisia za mapenzi akili ndo zitawale mapenzi yakeShauri. Nini afanye
Do replacement. Toa hiyo weka mwingine... ukitaka kuyakomoa mapenzi eti uishi mwenyewe kisa yeye hataki utasababisham na mwemyekiti dronedrake tuje kula biriyani. Mbona madem kibao mkuu... kwa kuanzia anzia mitaa savsinza pale usiku.. mwezi TU ushasahau kila kituHabari wakuu,
Mapenzi ni moja ya nguzo muhimu sana ya maisha yetu ya kila siku, na haijalishi ni aina gani ya mapenzi mtu aliyonayo as long as mapenzi basi ni strong emotion inayoweza kumuongoza mtu kufanya jambo fulani. Haswa na zaidi ni mahusiano ya kimapenzi.
Yupo mtu mmoja aliyewahi kusema mapenzi yana nguvu zaidi ya lori lililobeba tani nyingi za mzigo. Ikimaanisha mapenzi yana nguvu ya kufanya vitu vingi duniani tofauti na ilivyo kawaida kwa binadamu. Takribani miaka 80 iliyopita wanafunzi wa Harvard university walikuja na conclusion kuwa mapenzi ni chanzo kikuu cha furaha ya mwanadamu na wala sio pesa, urembo, umaarufu nk.
Lakini Changamoto kuu na kubwa ya mapenzi haswa ya mtu na mtu ( me na ke ) ni moja tu, kwani ni WIVU. Always mapenzi huja na wivu. Na pia kiwango cha mapenzi kinavyoongezeka na pia kiwango cha wivu kinaongezeka.
Hakuna mapenzi ya kweli yasiyokuwa na wivu, na wala hakuna asiekuwa na wivu kwenye mapenzi pale atakapoona mambo yanaenda tofauti.
Bali tofauti kubwa ni reaction ya mtu fulani juu ya suala hilo.
Mapenzi yana thamani sana kama unavyoona pesa na mali nyingine mbalimbali. Ndio maana watu wapo tayari kutoa mpaka utajiri wao kwa wanaowapenda. Mtu anapokupa moyo wake hakuna tofauti na mwajiri anaempa mwajiriwa wake kampuni kubwa kwa ajili ya kuisimamia na kuiendesha. Na inapotokea umefanya usaliti kwa penzi la mtu ni sawa na kufanya usaliti kwenye mali ya kampuni hiyo. Huu ndo mfano hai wa dhamana ya mapenzi.
Kiukweli nimejifunza mengi kuhusiana na mapenzi kutoka kwa walionitangulia lakini kwa hili nimeshindwa kuwaelewa hata kidogo. Je, inakuaje uondoe wivu kwa yule unaempenda?,
Sawa wivu ni kidonda, lakini je nawezaje kuishi bila kuwa na wivu kwa yule niliemweka moyoni?!
Kiukweli sijawahi kupata suluhisho katika hili.
Hayo ni ya kwako mkuu, mimi sipo huko.Sio kila anae kuonea wivu anakupenda, wengine ni roho mbaya ili usipate mtu sahihi.......hasa wanawake wivu wao ni ilogical ata mama ako mzazi atamuonea wivu tu.
It's impractical as well. How to make this possible.. watu hawawez hizooooo mwambie nn aanze nacho ili iwe step ya kufika stej hiyo mkuuKwanza asiendeshwe na hisia za mapenzi akili ndo zitawale mapenzi yake
Yesu mwenyewe maisha Yake Yote alikuwa single,hakujua mapenzi ni kitu gani,akaishia kupigwa tu mijeredi na wahuni wa kiyahudiMwisho wa siku yote ni ubatili,maisha yako mpe Yesu!
Sio kila wivu ni mapenzi mkuu jitahidi kua analytical abit.Hakuna mapenzi bila wivu,
Wanaopinga wivu kwenye mapenzi wana uelewa mdogo
Ova
Mimi nitazaa watoto tu huko mitaan,Habari wakuu,
Mapenzi ni moja ya nguzo muhimu sana ya maisha yetu ya kila siku, na haijalishi ni aina gani ya mapenzi mtu aliyonayo as long as mapenzi basi ni strong emotion inayoweza kumuongoza mtu kufanya jambo fulani. Haswa na zaidi ni mahusiano ya kimapenzi.
Yupo mtu mmoja aliyewahi kusema mapenzi yana nguvu zaidi ya lori lililobeba tani nyingi za mzigo. Ikimaanisha mapenzi yana nguvu ya kufanya vitu vingi duniani tofauti na ilivyo kawaida kwa binadamu. Takribani miaka 80 iliyopita wanafunzi wa Harvard university walikuja na conclusion kuwa mapenzi ni chanzo kikuu cha furaha ya mwanadamu na wala sio pesa, urembo, umaarufu nk.
Lakini Changamoto kuu na kubwa ya mapenzi haswa ya mtu na mtu ( me na ke ) ni moja tu, kwani ni WIVU. Always mapenzi huja na wivu. Na pia kiwango cha mapenzi kinavyoongezeka na pia kiwango cha wivu kinaongezeka.
Hakuna mapenzi ya kweli yasiyokuwa na wivu, na wala hakuna asiekuwa na wivu kwenye mapenzi pale atakapoona mambo yanaenda tofauti.
Bali tofauti kubwa ni reaction ya mtu fulani juu ya suala hilo.
Mapenzi yana thamani sana kama unavyoona pesa na mali nyingine mbalimbali. Ndio maana watu wapo tayari kutoa mpaka utajiri wao kwa wanaowapenda. Mtu anapokupa moyo wake hakuna tofauti na mwajiri anaempa mwajiriwa wake kampuni kubwa kwa ajili ya kuisimamia na kuiendesha. Na inapotokea umefanya usaliti kwa penzi la mtu ni sawa na kufanya usaliti kwenye mali ya kampuni hiyo. Huu ndo mfano hai wa dhamana ya mapenzi.
Kiukweli nimejifunza mengi kuhusiana na mapenzi kutoka kwa walionitangulia lakini kwa hili nimeshindwa kuwaelewa hata kidogo. Je, inakuaje uondoe wivu kwa yule unaempenda?,
Sawa wivu ni kidonda, lakini je nawezaje kuishi bila kuwa na wivu kwa yule niliemweka moyoni?!
Kiukweli sijawahi kupata suluhisho katika hili.
Mkuu topic inaelezea wivu wa kimapenzi, na sio aina nyingine ya wivuSio kila wivu ni mapenzi mkuu jitahidi kua analytical abit.