MtotoKautaka
JF-Expert Member
- Jul 16, 2018
- 877
- 1,781
Wakuu maisha kutoboa yataka moyo thabiti na mgumu kweli kweli.
Nimejifanyia Audit nimegundua tsh 235,000 haijulikani ilitumika kwa matumizi yapi.
Matumizi yangu ya muhimu nayakumbuka yote lakini mwisho wa siku nimefanya mahesabu nimegundua tsh 235,000 imetumika katika matumizi ya ovyo ovyo (yasiyoeleweka).
Roho yangu imeniuma sana kwasabab hiyo hela ningeisevu ingenisaidia mbeleni.
Mimi ni kijana ambaye nipo kwenye age ambayo inanihitaj niwe makini sana kwenye matumizi ya pesa kwasabab niki-mess up tu now basi nitakuwa kuja jinga hapo mbeleni.
Naombeni ushauri ndugu zangu mbinu za kusev pesa.