David Moyes
Member
- Nov 30, 2013
- 20
- 8
Wakuu habarini za muda huu,
Glory to God!
Hatimaye nimeitwa kwenye interview secretariet ya ajira post ya Assistant Accountant baada ya kusota kwa takribani miaka 5 bila kazi yoyote.
Ombi Langu Kwenu
Kwa wale waliowahi kufanya interview ya mchujo, naomba walau kujua wanauliza maswali ya aina gani ya darasani au general knowledge? Msaada wenu wakuu nisikose hii. Nimeungua jua mtaani sana.