Nimeitwa Songas kwa ajili ya interview

Nimeitwa Songas kwa ajili ya interview

kilio

Member
Joined
Jan 24, 2014
Posts
68
Reaction score
83
wanajamii forum nilipigiwa simu jumatano tarehe 11/02/2015 kwa ajili ya interview 13/02/2015.wakati deadline ya kutuma maombi ya post ya ELECTRICAL INTERN ni tarehe 12/02/2015 saa kumi.je sheria ya uajiri inaruhusu kumwita mtu kwenye interview kabla ya deadline.je walio apply jana na leo maombi yao hayata shughulikiwa?.pia kwanini private sectors zinafikili kila mtu anaishi dar es salaam hazitoi mda kama utumishi.
 
naomba kujua sio ugomvi, acha ubinafsi
 
Changamkia fulsa ndugu,usipoteze muda,hapa jamvini watu watakukatisha tamaa bure,SONGAS pale ni patamu mno,fanya linalowezekana uende usije ukajilaumu,mtaani hapafai
 
hivi hali ya ajira ilivyo Bongo umepata muda wa kuja hadi kupost swali, hata interview ingekuwa Zambia na asubuhi ndo wamenipigia simu sa hivi ningekuwa Border Tunduma ndo nakamilisha taratibu za kuvuka
 
kafanye interview wewe, watanganyika bana mkikosa kelele mkipata kelele,
 
hiyo ni kawaida ya nafasi na hapo tayari wana mtu wanampa hiyo ni kutimiza tu wajibu, mm kuna siku niliitwa na EXIM wananipigia simu saa sita na wakaniuliza niko wapi nikawaambia niko Moshi eti kesho yake wananitaka kwenye interview DSM, Ila nlikomaa asubuhi niko ofisini kwao hapo Dsm hawakuamin kabisa
wanajamii forum nilipigiwa simu jumatano tarehe 11/02/2015 kwa ajili ya interview 13/02/2015.wakati deadline ya kutuma maombi ya post ya ELECTRICAL INTERN ni tarehe 12/02/2015 saa kumi.je sheria ya uajiri inaruhusu kumwita mtu kwenye interview kabla ya deadline.je walio apply jana na leo maombi yao hayata shughulikiwa?.pia kwanini private sectors zinafikili kila mtu anaishi dar es salaam hazitoi mda kama utumishi.
 
hiyo ni kawaida ya nafasi na hapo tayari wana mtu wanampa hiyo ni kutimiza tu wajibu, mm kuna siku niliitwa na EXIM wananipigia simu saa sita na wakaniuliza niko wapi nikawaambia niko Moshi eti kesho yake wananitaka kwenye interview DSM, Ila nlikomaa asubuhi niko ofisini kwao hapo Dsm hawakuamin kabisa

Ulifanikiwa ajira bwashee?
 
wanajamii forum nilipigiwa simu jumatano tarehe 11/02/2015 kwa ajili ya interview 13/02/2015.wakati deadline ya kutuma maombi ya post ya ELECTRICAL INTERN ni tarehe 12/02/2015 saa kumi.je sheria ya uajiri inaruhusu kumwita mtu kwenye interview kabla ya deadline.je walio apply jana na leo maombi yao hayata shughulikiwa?.pia kwanini private sectors zinafikili kila mtu anaishi dar es salaam hazitoi mda kama utumishi.

Sasa mkuu kwani hao waliokupigia simu sio SONGAS?? kama ni wenyewe fanya uende masuala ya deadline achana nayo wewe umeitwa itika wito hayo mengine ni ya kwao... kamata fursa hiyo wangapi wanasota na deadline zinapita hawaitwi hata kwenye interview... umepata nafasi itumie labda kama na wewe hutaki kazi
angalia usije kubaki na kilio
 
Back
Top Bottom