Nimeitwa kwenye interview vodacom

Nimeitwa kwenye interview vodacom

Vizuri sana ukifanikiwa hata ukifanikiwa uje hapa utoe elimu maana watz wengi wakishaona kazi ya nje yenye competition au kwenye mashirika makubwa wanakimbia hatari. They take chances na huko nje kuna kazi nyingi, cha kushangaza wabongo hatuonekani ila watu wa asia na eastern europe na west africans na kwa EA wakenya. Wabongo tumelala tuko bize maneno kuliko vitendo
True mzee. Kuna mtu hapo juu alinituhumu kwa kuniambia mbona sijawaambia watu wakati nafasi imetangazwa? Kiukweli kabisa hii ilitangazwa kule linkedin na mtu alitakiwa kuomba online. Namaanisha unajaza details zako na ku attach cv na kutuma. Nimeangalia pale namba ya watu walioomba hii nafasi ni zaidi ya 200. Maana huwa inaonyesha pia number of apppicants
 
Hahahaha man unamlisha matango pori. Si kila analyst ni IT. Business analyst mara nyingini wenye professional ya BA..adminstartion. so apa umempeleka kwingine man
Yeah. Sio mambo ya IT. ni mambo ya product and market analysis, financial planning, budgeting and forecasting, commerce performance evaluation. Ila sio mbaya katoa ushauri pia
 
Hahahaha man unamlisha matango pori. Si kila analyst ni IT. Business analyst mara nyingini wenye professional ya BA..adminstartion. so apa umempeleka kwingine man
Usibishe tu ilimradi
you absolutely have no idea what your talking about
 
Nigga please ..i have experience and i know those things kuliko unavyodhani. Uwe unasoma tangazo wanataka mtu wa aina gan. Kabla huajkurupuka bro..
Usibishe tu ilimradi
you absolutely have no idea what your talking about
 
Have been business analyst n i still am BA there so kama unabisha endelea but seems to me u knw nothing about business analyst
Watu mkiona neno business tu mnaona kama ni commerce na bookeeping eeh?for your information business intelligence,businness analysis,data analysis,data wharehouse and the co ..zote code tu baba ts all about OLAP and OLTp kama imewah kusikia so nasisitiza the guy has to knw either of these programming languages pythone au R
Hutaki kuamini haya gud luck
Nigga please ..i have experience and i know those things kuliko unavyodhani. Uwe unasoma tangazo wanataka mtu wa aina gan. Kabla huajkurupuka bro..
 
Mkuu hii nafasi walitaka mtu aliywsoma Business administration. Ila inasemekana excel ndio inatumika sna hapa kwenye data analysis
Sawa mkuu gud luck
But take t from me kama unajua python au r languages itakua kipaumbele
 
Nigga please ..i have experience and i know those things kuliko unavyodhani. Uwe unasoma tangazo wanataka mtu wa aina gan. Kabla huajkurupuka bro..
Mkuu wote mpo sahihi sema inabidi uangalie vizuri wanataka sifa gani, job description, scope of work au roles za mtu wanaye mtaka ktk tangazo la kazi.

Kuna wanae mtaka Business analyst ambae ni amesomea masomo ya biashara zaidi na kuna wanaemtaka aliesomea na kuiva ktk masomo ya ICT/IT.

By the way nimewahi kuitwa kwenye interview ya Business Analyst ambayo walitaka mtu wa IT pure, maswali yote yalikuwa mwanzo mwisho ni mambo ya IT kama System Analysis and Design, Project management, Systems Analysis n.k.

Tangazo lao lilieleza wazi wanataka mtu wa IT related field.

Pia kila siku tunaona matangazo ya kazi za Business Analyst ambae description zote zinahitaji mtu aliesomea masomo ya biashara sio IT.
 
Mkuu wote mpo sahihi sema inabidi uangalie vizuri wanataka sofa gani na scope of work au roles za mtu wanaye mtaka ktk tangazo la kazi.

Kuna wanaemtaka Business analyst ambae ni aluesomea masomo ya biashara zaidi na kuna wanaemtaka aliesomea na kuiva ktk masomo ya ICT/IT.

By the way nimewahi kuitwa kwenye interview ya Business Analyst ambayo walitaka mtu wa IT pure, maswali yote yalikuwa mwanzo mwisho ni mambo ya IT kama System Analysis and Design, Project management, Systems Analysis n.k.

Tangazo lao lilieleza wazi wanataka mtu wa IT related field.

Pia kila siku tunaona matangazo ya kazi za Business Analyst ambae description zote zinahitaji mtu aliesomea masomo ya biashara sio IT.
gwijimimi
 
But kama kwenye job description wamemention excel for anakysis that mrans u need sdvance excel so komaa na hiyo kwanza iwe advantaje kwako then hayo malanguage utayajulia kazini
Hint:excel is very powerful tool so komaa ujue advance excel n u can beat t
Ahsante kwa ushauri mkuu. Nitafanyia kazi pia python au r language
 
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema. Nimeitwa kwenye interview ya vodacom. Position ya Business Analyst (BA). Mwenye ABC's ya interview za vodacom ya hiyo postion anijuze
Mhhh jamaa unaharibu sasa!!tukupe desa la interview tena!!!maana kama hawa jamaa wamekuita,jiamini upo vzr(kama hukutumia magumashi yoyote),
We Tinga pale,piga usahili vzr,
Cha kwanza lazima uijue kazi uliyoomba,na Pili jua japo history kidogo ya Vodacom,kiidara kama,operations,IT,Radio Planning nk,
Pale hakuna longolongo,kama vitu unavijua,unakula shavu tu,wanajua kutafuta watu kwenye uwezo!
 
Mkuu mda mwingine huwa mnajikosesha opportunity hivi hivi maana wewe kama umeweza Ku post humu sidhani kama ungeshindwa hata kuingia Google ukaangalia hyo position kwa utulivu inakuaje na ukaelewa tu kuliko hapa.Point yngu ni kuwa hapa duniani bwana kuna watu ambao masikio yao ni dhambi kubwa kusikia vitu kama ivyo maana akickia tu umeharibikiwa,it means GUNDU

NB:Jaribu kuficha mambo yako ambyo yanakuweka katika position flan kama hyo yan pga chin chin ukifanikiwa at least ndo waweza kushare na wadau!!
 
Ahsante mkuu. Mi najiamini na nipo vzr. Ila si unajua tena lazina utafute info kama ninavyofanya hapa.
Mhhh jamaa unaharibu sasa!!tukupe desa la interview tena!!!maana kama hawa jamaa wamekuita,jiamini upo vzr(kama hukutumia magumashi yoyote),
We Tinga pale,piga usahili vzr,
Cha kwanza lazima uijue kazi uliyoomba,na Pili jua japo history kidogo ya Vodacom,kiidara kama,operations,IT,Radio Planning nk,
Pale hakuna longolongo,kama vitu unavijua,unakula shavu tu,wanajua kutafuta watu kwenye uwezo!
 
Duh. Kweli mkuu? Maana mi nimechukulia kawaida tu

Back
Top Bottom