Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema. Nimeitwa kwenye interview ya vodacom. Position ya Business Analyst (BA). Mwenye ABC's ya interview za vodacom ya hiyo postion anijuze
maskin !!! Nenda tu kapate uzoefu wa usail sio mbayaCoding mkuu especially r language and python
maskin !!! Nenda tu kapate uzoefu wa usail sio mbaya
Mbona ukuwaambia wenzako ulipoona tangazo. Anyway mi sijuhiWakuu kama kichwa cha habari kinavyosema. Nimeitwa kwenye interview ya vodacom. Position ya Business Analyst (BA). Mwenye ABC's ya interview za vodacom ya hiyo postion anijuze
Dah. Mkuu kwanini unasema hivyomaskin !!! Nenda tu kapate uzoefu wa usail sio mbaya
Niliona kile linkedin mkuu. Aladu ilikuwa siku ya mwishoMbona ukuwaambia wenzako ulipoona tangazo. Anyway mi sijuhi
Mkuu hii nafasi walitaka mtu aliywsoma Business administration. Ila inasemekana excel ndio inatumika sna hapa kwenye data analysisCoding mkuu especially r language and python
Ipo mkuu tena sana. Maana nilisoma nchi za wenzetu tangu primaryLugha y malkia ipo vzr
Kusoma nchi za wenzetu sio kigezo cha Kujua lugha ya malikia maana unaweza Kuwa ulisoma urusi au nchi Za kaarabu au france au latin america ambako nako lugha inasumbua. Lakini hapa hapa kuna watu hasa hasa Hawa watoto wa school bus wanatema yai ni hatari. Mwisho baadhi ya kazi zitahitaji basic english na skills kwa wingiIpo mkuu tena sana. Maana nilisoma nchi za wenzetu tangu primary
Utawaweza watu wa humu ndani, sijui hata wanawachukuliaje wenzao. Usikatishwe tamaa mkuu pambanaDah. Mkuu kwanini unasema hivyo
Sawa. Basi kingereza kipo cha kutosha tu. Maana ni language of instruction tangu primary kwanguKusoma nchi za wenzetu sio kigezo cha Kujua lugha ya malikia maana unaweza Kuwa ulisoma urusi au nchi Za kaarabu au france au latin america ambako nako lugha inasumbua. Lakini hapa hapa kuna watu hasa hasa Hawa watoto wa school bus wanatema yai ni hatari. Mwisho baadhi ya kazi zitahitaji basic english na skills kwa wingi
Dah. Na mimi mtoto wa kajamba nani sijui itakuajekama wewe sio mtoto wa kigogo nenda kapate experience tu ya interview position hizo hawapati watoto wa kajamba nani.
All the best..... Maana kufanikiwa kwako yaweza kuwa motisha kwa vijana wengine wenye matamanio katika fani yako heshima ya shule inatamaraki kupitia kwakoSawa. Basi kingereza kipo cha kutosha tu. Maana ni language of instruction tangu primary kwangu
All the best..... Maana kufanikiwa kwako yaweza kuwa motisha kwa vijana wengine wenye matamanio katika fani yako heshima ya shule inatamaraki kupitia kwako
Wala usikatishwe tamaa, kama unavigezo vyote na interview ukipiga vzr why usipate.hakuna cha mkulima wala tajiri. Ni mtu mwenye vigezoDah. Na mimi mtoto wa kajamba nani sijui itakuaje

Thax mkuu. Maana shortlist imefanyika south africa. Kama ingefanyika hapa bongo sijui kama hata kwenye interview ningeitwa.