Young murrah JF-Expert Member Joined Mar 31, 2014 Posts 415 Reaction score 459 May 2, 2014 Thread starter #121 Wakuuu jumatato niko ndani tena ya Interview ya mwisho bado tunapambana kibarua kisiote nyasi mtaji wako ni nguvu zako mwenyewe be blessed kupata ila kukosa nayo heri@kigorione@Maukiddo@Mkwawajr@Yushin
Wakuuu jumatato niko ndani tena ya Interview ya mwisho bado tunapambana kibarua kisiote nyasi mtaji wako ni nguvu zako mwenyewe be blessed kupata ila kukosa nayo heri@kigorione@Maukiddo@Mkwawajr@Yushin
L lelo1 JF-Expert Member Joined Feb 23, 2014 Posts 583 Reaction score 481 May 2, 2014 #122 qn of sheba said: Watu wanapenda sifa za kijinga humu acha tu... Yote hii wanataka waonekane bank officer wako juu kumbe hamna loloye njaa tu ndo maana wanaiba... Click to expand... acha tu,watu wangekuwa wanaeleza ukweli wangesaidia sana watu kufanya maamuzi.
qn of sheba said: Watu wanapenda sifa za kijinga humu acha tu... Yote hii wanataka waonekane bank officer wako juu kumbe hamna loloye njaa tu ndo maana wanaiba... Click to expand... acha tu,watu wangekuwa wanaeleza ukweli wangesaidia sana watu kufanya maamuzi.
Chivundu Platinum Member Joined Dec 17, 2012 Posts 9,669 Reaction score 13,449 May 3, 2014 #123 Young murrah said: kweli anco malengo lazma tuyafanikishe Click to expand... Pamoja anko,kila la kheri.
Young murrah said: kweli anco malengo lazma tuyafanikishe Click to expand... Pamoja anko,kila la kheri.