Nimeitwa Interview shirika la Nestle Global nchini Ghana

Nimeitwa Interview shirika la Nestle Global nchini Ghana

Nashukuru ila hata kujifanya mjinga ni busara kuna watu humu wanaweza kunipa mwanga nikajifunza mengi acha nionekane elimu niliyopewa haikuniandaa kukabili
Kama hujui hujui tu.

Hakuna kitu kama kujifanya hujui.

Wewe elimu yako haijakusaidia ndio maana unahitaji msaada kutatua changamoto zako.

Ila kama ungekuwa tayari tayari usingesumbua watu hapa.
 
Mchakato ulianzia linkedin kisha application nikafanya through portal yao wakawa wananipa each progress through my email
Fanya due diligence kabla ya kutumia pesa yoyote tafuta contact zao piga simu waulize kuhusu interview sababu scams zipo hata wao wamesema na wanajua hilo

Some emails claim that you have won a competition, or will receive a special prize. Others encourage you to apply for non-existent jobs at Nestlé or complete a recruitment assessment. In other cases, fraudsters provide actual job contracts with false signatures from members of our executive board. In return the requester asks you to provide your personal details, and in some cases, money. We are also aware of fake or compromised LinkedIn profiles, created for the same purpose.

These are hoaxes. Please ignore any request to send your personal details. We would never operate in this way.

If you have received or are aware of this type of communication and have concerns, please report it to us via abuse@nestle.com. This will allow us to pursue potential legal options against fraudsters.

Kama hujui hujui tu.

Hakuna kitu kama kujifanya hujui.

Wewe elimu yako haijakusaidia ndio maana unahitaji msaada kutatua changamoto zako.

Ila kama ungekuwa tayari tayari usingesumbua watu hapa.
Elimu haina mwisho wewe acha kumuongelea vibaya mwenzio

Watanzania wachache sana wenye uzoefu kwenye mambo ya ajira za kimataifa
 
Elimu haina mwisho wewe acha kumuongelea vibaya mwenzio

Watanzania wachache sana wenye uzoefu kwenye mambo ya ajira za kimataifa
Kweli elimu yetu mbovu maana hata wewe haijakusaidia.
 
Samahani wakuu katika harakati za ugonga ulimbo nilikuwa nafanya application ndani na nje ya nchi sasa niliomba kazi shirika la Nestle global nchini Ghana.

Nimepokea mwaliko wa interview huko Acra Ghana na ni oral interview kwa mimi mgonga ulimbo sijui hata nafikaje huko nilijua itakuwa zoom interview mwenye A B C za kuitwa interview za kimataifa anisaidie na namna ya kufika huko au niende ubalozi wa Ghana nchini Tanzania.

Nimeitwa interview position ya
Factory Hygienist position in Nestlé.

Taaluma yangu ni laboratory technologist ii

Natanguliza shukrani

nahisi kama unaenda kupigwa.Interview za international post nyingi huwa ni Online kwanza.ja kama wanakuita face to face inakuwa ni baada ya stage flan ya virtual interviews
 
Ebu jaribu kuwatafuta hata hapo waulize kwamba unataka ku confirm interview yao; matapeli washakuwa wengi siku hizi...

Motorway Extension, Dzorwulu,
Accra, Ghana

Postal address:
Nestlé Ghana Ltd
Head Office
P.M.B. K.I.A.
Accra, Ghana

Nestlé Central and West Africa Limited
One Airport Square,
4th floor - Airport City,
PMB 32 KIA,
Accra – Ghana
Tel: +233 302 211 880
Consumer Service Tel: 080 012 0001 Contact us
mkuu mbona anuani zako hazina hiyo Nestle Global aliyoleta mtoa mada..hajaingizwa chaka kweli huyu na hiyo global yake.!
 
mkuu mbona anuani zako hazina hiyo Nestle Global aliyoleta mtoa mada..hajaingizwa chaka kweli huyu na hiyo global yake.!
according to site yao

Address ya Ghana ni

Nestlé Ghana
Head Office,
No. 33 South Legon Commercial Area,
Motorway Extension, Dzorwulu,
Accra, Ghana

Postal address:
Nestlé Ghana Ltd
Head Office
P.M.B. K.I.A.
Accra, Ghana

Nestlé Central and West Africa Limited
One Airport Square,
4th floor - Airport City,
PMB 32 KIA,
Accra – Ghana

Tel: +233 302 211 880

Consumer Services​

Tel: 080 012 0001
Contact us

Ila karibu hapa Kenya ni
Kenya
Nestlé Foods Kenya Ltd.

Nestlé Kenya Ltd P.O. Box 30265 Nairobi 00100 Pate Road, Industrial Area Nairobi
Kenya

Tel: +254-20 3990 000, +254 (0)729 110713, +254 (0)729 110714

Consumer Services​

Tel: +254 20 3990 000

Labda awacheki hao na kuwauliza kama anahisi harufu ya utapeli hivyo watamshauri zaidi kama ndio procedures zao kuita watu interview nchi za mbali
 
Asante sana kak mkubwa
Kufanya kazi nchi nyingine ni jambo linalohitaji research kwa undani. 1. Kazi unayokwenda kufanya ni rahisi wageni kupewa kibali cha kazi? 2. Kibali cha kazi kinatolewa kwa bei gani na masharti gani? 3. Gharama za maisha zikoje nchi unayokwenda na mshahara wako utakuwa kiasi gani? Hapa ni assume kuwa huo mwaliko wa interview siyo utapeli. Kwa kifupi habari kw undani utazipata kutoka kwa hao waliokualika kwa interview na hakikisha unatumia official contact kutoka kwenye website yao. Pia check immigration ya Ghana kujua kama ukifaulu interview watakupa kibali.
 
Kazi za kimataifa ukishapata hulipi tiketi wanakutumia wenyewe

Hata ma housegirl tu wanaoenda kufanya kazi uarabuni hutumiwa tiketi na waajiri wao
hii imekaa safi ngoja tuone
 
Kufanya kazi nchi nyingine ni jambo linalohitaji research kwa undani. 1. Kazi unayokwenda kufanya ni rahisi wageni kupewa kibali cha kazi? 2. Kibali cha kazi kinatolewa kwa bei gani na masharti gani? 3. Gharama za maisha zikoje nchi unayokwenda na mshahara wako utakuwa kiasi gani? Hapa ni assume kuwa huo mwaliko wa interview siyo utapeli. Kwa kifupi habari kw undani utazipata kutoka kwa hao waliokualika kwa interview na hakikisha unatumia official contact kutoka kwenye website yao. Pia check immigration ya Ghana kujua kama ukifaulu interview watakupa kibali.
Asante san kaka
 
Samahani wakuu katika harakati za ugonga ulimbo nilikuwa nafanya application ndani na nje ya nchi sasa niliomba kazi shirika la Nestle global nchini Ghana.

Nimepokea mwaliko wa interview huko Acra Ghana na ni oral interview kwa mimi mgonga ulimbo sijui hata nafikaje huko nilijua itakuwa zoom interview mwenye A B C za kuitwa interview za kimataifa anisaidie na namna ya kufika huko au niende ubalozi wa Ghana nchini Tanzania.

Nimeitwa interview position ya
Factory Hygienist position in Nestlé.

Taaluma yangu ni laboratory technologist ii

Natanguliza shukrani
Chunga iwe scam. West Africa hiyo mwanangu.
 
Back
Top Bottom