kante mp2025
JF-Expert Member
- Nov 11, 2022
- 682
- 1,289
- Thread starter
- #41
Asante sana kunitonya mtanzania mwenzako nduguNaunga mkono hawa Waghana walishawahi kutengeneza ubalozi feki wa Marekani wakitoa visa feki kwa kipindi cha miaka mitano bila kushtukiwa.
Umakini uwe mkubwa.