Nimeitwa Interview shirika la Nestle Global nchini Ghana

kante mp2025

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2022
Posts
681
Reaction score
1,283
Samahani wakuu katika harakati za ugonga ulimbo nilikuwa nafanya application ndani na nje ya nchi sasa niliomba kazi shirika la Nestle global nchini Ghana.

Nimepokea mwaliko wa interview huko Acra Ghana na ni oral interview kwa mimi mgonga ulimbo sijui hata nafikaje huko nilijua itakuwa zoom interview mwenye A B C za kuitwa interview za kimataifa anisaidie na namna ya kufika huko au niende ubalozi wa Ghana nchini Tanzania.

Nimeitwa interview position ya
Factory Hygienist position in Nestlé.

Taaluma yangu ni laboratory technologist ii

Natanguliza shukrani
 
Angalia west huko full matapeliii....ukiombwa pesa kimbiaas
 
Umeitwa vipi ? yaani procedure mwanzo mpaka mwisho uliapply wapi pia ?

Angalia kama wakianza kukuomba fedha za kukamilisha hapa na pale shituka huenda wewe ndio ukawa fursa...
 
Samahani wakuu katika harakati za ugonga ulimbo nilikuwa nafanya application ndani na nje ya nchi sasa niliomba kazi shirika la Nestle global nchini Ghana.

Nimepokea mwaliko wa interview huko Acra Ghana na ni oral interview kwa mimi mgonga ulimbo sijui hata nafikaje huko nilijua itakuwa zoom interview mwenye A B C za kuitwa interview za kimataifa anisaidie na namna ya kufika huko au niende ubalozi wa Ghana nchini Tanzania.

Nimeitwa interview position ya
Factory Hygienist position in Nestlé.

Taaluma yangu ni laboratory technologist ii

Natanguliza shukrani
Utarudi Kwa miguu ,hayo mashirika ya misaada hayana ishu
 
Ebu jaribu kuwatafuta hata hapo waulize kwamba unataka ku confirm interview yao; matapeli washakuwa wengi siku hizi...

Motorway Extension, Dzorwulu,
Accra, Ghana

Postal address:
Nestlé Ghana Ltd
Head Office
P.M.B. K.I.A.
Accra, Ghana

Nestlé Central and West Africa Limited
One Airport Square,
4th floor - Airport City,
PMB 32 KIA,
Accra – Ghana
Tel: +233 302 211 880
Consumer Service Tel: 080 012 0001 Contact us
 
Samahani wakuu katika harakati za ugonga ulimbo nilikuwa nafanya application ndani na nje ya nchi sasa niliomba kazi shirika la Nestle global nchini Ghana.

Nimepokea mwaliko wa interview huko Acra Ghana na ni oral interview kwa mimi mgonga ulimbo sijui hata nafikaje huko nilijua itakuwa zoom interview mwenye A B C za kuitwa interview za kimataifa anisaidie na namna ya kufika huko au niende ubalozi wa Ghana nchini Tanzania.

Nimeitwa interview position ya
Factory Hygienist position in Nestlé.

Taaluma yangu ni laboratory technologist ii

Natanguliza shukrani
Uzuri hauhitaji visa kwenda Ghana. All the best mkuu
 
Back
Top Bottom