Madege
JF-Expert Member
- Dec 8, 2011
- 530
- 111
Nimekuelewa madege ila sikuulizia mshahala,niliuliza mshahara.Halafu sina wenge kama huna ajira na unastress nipm nikusaidie ila uwe umesoma course za business
eti huna wenge ndo wenge hilo sasa. kama umepagawa vile hadi unaulizia swala la mshahara humu ndani hata intetview hujafanya, labda ungekuwa umefanya afu ukaulizia hayo mawe sawa.
swala la stresss labda kwako mm nimejiajiri so sijawa na mawazo ya kuajiliwa kama wewe so sina stress kama ulivyo ww.
issue nyingine usifanye kuji ploud eti kama sina ajira nije kwako ila niwe nimesoma business. kama ww mwenyew unakimbilia huko nmb afu unataka kumpa ajira mtu unatoa wapi?
tena sio kila mwenye stress kimbilio lake ni ajila za vourse za business pekee?
hope nimesomekaaa......................