Nimeishia tu Kumuita Shemu

Nimeishia tu Kumuita Shemu

Kuna dem mkali nimekutana nae hapa sa nimemuita shem, sa anashangaa shem wapi wakati hanijui nikamwambia mwenzio sina hela sa watoto wazuri ka wewe naishia kuwaita shem.
Uandishi wako tu unaonesha wewe ni mtu wa kaliba ipi, ningeshangaa hata huyo demu kama angekukubali.
 
Team_Division_5

T/UDOM/2009/.....with second upper class. Kuna muda unakua na mzuka wa kufurahi na kumfurahisha mtu. After all life goes on, such things give us more reasons to be happy regardless how hard life is
 
kwani ungemwita mrembo au mtoto mzuri ina shida gani?...
 
Back
Top Bottom