Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,383
- 7,979
Sijui ni mimi tu ndio nae kutana changamoto hii imekuwa ngumu kupata demu ambaye aliyeweza kunipa hitaji la ngono wengi niliokutana nao wamenirusha kamba promise za uongo
Mwanamke mnahaidiana siku flani aje mfanye unakuta vizingizio kibao mara na bleed au naumwa wengine hwalikuwa nikiomba wanaanza na mizinga kibao kwahiyo mwisho wa siku penzi ndani wiki limeshavunjika
Age yangu 23 nilipiga puli lakini nikaona kiafya sio nzuri pia inafanya mtu kuwa na tatizo la kusahau mwisho wa siku nimejikuta naponea kwa wanawake wauzaji wa ngono ila huwa natumia kinga
Nimeona haina jinsi sasa sababu napata hitaji kwa wakati mara moja moja nikibanwa kasi ya wanawake wa mjini nimeshindwa kuendana nayo kwa sasa