Nimeishi duniani siku 9516 mpaka sasa!

savo

JF-Expert Member
Sep 14, 2015
278
204
Ushawahi jiuliza swali hili mpaka sasa umeishi siku ngapi? La hasha! Wengi wao wataona wameishi siku chache zaidi kwa uthamani wa namba unayoiona kwa miaka yako.Ila utabaki ukweli huu chukua siku zako za mwaka mmoja ambazo ni 366 na uzidishe na miaka yako ya sasa unapata siku zako ulizo ishi tangu kuzaliwa kwako.
366×26=9516.

Tuambiane sasa wewe mwenzangu umeishi siku ngapi hapa duniani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umekurupuka na kupotosha watu!. Ni mwaka mmoja tu wenye siku 366 kati ya miaka 4, mitatu iliobaki ina siku 365. Zidisha mara 365 na 1/4 ndio utapata jibu sahihi.
 
Umekurupuka na kupotosha watu!. Ni mwaka mmoja tu wenye siku 366 kati ya miaka 4, mitatu iliobaki ina siku 365. Zidisha mara 365 na 1/4 ndio utapata jibu sahihi.
sio mbaya hata hivyo jua ndo lishazama hivyo awahi nimuuzie jeneza tu asubiri siku ifike fasta asepe awaachie masela wife wake.
 
Hizo siku zako elfu 9 na something umefanya jambo gani la maana sana hapa duniani? Na next 9.... Umepanga kufanya jambo gani... Hayo ndio mambo ya kuyaleta huku.. Hizo calculation zako ingekuwa bora mngezifanya huko sekondari kwenu.
 
Kumbe vita vya darasa la saba na Degree,Masters na uprofesa ilianza zamani...

Msomi kama hakuna alilofanya ni bwege tu na mganga njaa
 
Back
Top Bottom