Namba mbili nimeipenda buure kabisa...Kweli ushazeeka Zinduna, hiyo sio foot print ngoja nikusogezee karibu
View attachment 186482
View attachment 186483
I like it
Hii kwa wale wanaojitambua na hawana michepuko
Na kwanini ishindikane?
Wii hebu niulizie Ntuzu kama anaweza hii
Ila unaweza? Me kama unaniambia kuna sms imeingia naweza kukwambia fungua isome.....
Sitaki hata kuongea na huyo mumeo