Nimeipenda SimBanking Mob App

Kibukila

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
900
300
Nimeipenda sana simbanking mobile App kutoka benki ya CRDB.Hii app inapatikana kwenye playstore na inakuwezesha kufanya mambo mengi yakiwemo

Kufanya cash transfer kutoka kwenye account ya CRDB kwenda benki nyingine zaidi ya 30.

Kuangalia statement ya account yako kwa tarehe unazochagua.Statement inatumwa hapo hapo kwenye email yako.

Kufanya miamala mingine kama kununua luku airtime na mambo mengine kama ilivyokuwa kwenye simbanking ya kawaida.

Hii app inatumia Internet kwa hiyo hata kama hauna airtime kwenye simu yako utaweza kutumia hii app kwa Internet.
 
yap nimeitumia na Mimi iko njema sana hasa kwenye kupata statement sio lazima kwenda bank kitu hapo hapo ulipo
 
but nadhan kuwa hacked details zako ni very easy sana ukitumia application za android atleast mtu anaetumia iphone sema n kwamba tu TZ ma hacker wenyew chengaa
 
en watu pia walkuwa wanasema huwez kupokea pesa kutoka nje ya nchi na kutuma but jana nmeongea nao CRDB wamenambia ukisha ji register for online transactions unaweza fanya yote je kuna ukwel wowote juu ya hili??
 
Toka 2015 naitumia hii app...

Kiufupi nina miaka 8 sijawahi kukwangua vocha, nanunulia umeme, nalipia maji, nalipia government transactions zote, nk.

Ni app nzuri sana, very user-friendly.

Na kila bank ina app kama hii, hata NMB wanayo na unaweza fanya kila kitu kama hii ya CRDB.
 
Kaka developer wa crdb simbanking ni nyoko na ni mzawa, mtoto wa mheshimiwa flani ila simtaji, kuhusu hoja yako fika benki sajiliwa na internet banking umalize kelele.
Tofauti ya simbanking na internet banking ni kubwa sana.
1,e banking yenyewe ni kila kifaa chenye net utaweza kua na access na akaunti yako while sbanking inakua specific kwa kifaa kilichosajiliwa tu.
Mtamalizia na wengine nimechoka kuandika, ila crdb app yao hata ladi ikiisha mda unarequest kadi mpya pale pale, kufunga kadi kufuta kadi na mengine
en watu pia walkuwa wanasema huwez kupokea pesa kutoka nje ya nchi na kutuma but jana nmeongea nao CRDB wamenambia ukisha ji register for online transactions unaweza fanya yote je kuna ukwel wowote juu ya hili??
 
Back
Top Bottom