Nimeipenda picha hii ya Dr Slaa

Status
Not open for further replies.
Kumbe kabla hajaanza kukimbizana na mambo ya NDOA alikuwa mneneee, mambo ya ndoa yananyong'onyesha bana.....

sura yake ilionyesha tangu mwanzo ni mtu anaweza kuaminika,hamna bla blaaa
 


Mtu makini huonekana tangu Ujana wake!! wengine umri huo walikuwa wanakimbizana tu mabarabarani hadi saa tisa alfajiri.
 
Alikuwa muadilifu ujanani alivyofikia uzeeni uadilifu ukamtoka, naongelea pale alipoamua kuoa, maana amekwenda kinyume na kiapo cha upadri ambacho hakiruhusu kuoa.

Pia tukio lingine linalomuonesha kuvunja uadilifu ni pale alipoamua kuiba mke wa mtu.

Kwahiyo ujanani= bonge la muadilifu
Sasa hivi= kukiuka misingi ya kanisa (kwa kuoa) + kuiba mke wa mtu = NO UADILIFU
 
Kumbe kabla hajaanza kukimbizana na mambo ya NDOA alikuwa mneneee, mambo ya ndoa yananyong'onyesha bana.....
Chezea papuchi weye, sasa hivi sura kama ya ...................
 
tatizo limekuja baada ya kuacha upadre na ndo maana anajikuta akifanya mambo ya hovyo kabisa
 
Sheria ya kutokuoa ni utaribu wa dhehebu la katoliki nionyeshe wapi biblia inasema tusioe,kuliko kuwakaa tamaa ni bora kuoa
 
Kumbe ni kweli alisaliti Maagizo ya BWANA MUNGU wetu ya kuwafikisha salama kondoo waliopotea.
 

Mkuu, nikusahihishe hapo. Dr Slaa hajawahi kuoa na wala haujui utamu wa ndoa
 


Mtu makini huonekana tangu Ujana wake!! wengine umri huo walikuwa wanakimbizana tu mabarabarani hadi saa tisa alfajiri.

Namsifu kwa umakini wake wa kuangalia Kondoo wake! mpaka akaamua kubanjua amri ya sita ha hicho kijitabu alichokishika!
 
Nimeamini kile nilichokuwa nawaza kuwa Dr. alikuwa mwadilifu tokea huko alikokuwa mwanzo. Mwanazuoni aliyebobea na mwaminifu daima. Leteni hayo majanga yenu ss sijui Lowasa wajipime nguvu tuone.
 
Kumbe ni kweli alisaliti Maagizo ya BWANA MUNGU wetu ya kuwafikisha salama kondoo waliopotea.
Mchungaji akipotea njia kondoo watafikaje!! Ndio maana kondoo wake wote wako mashakani masikini, wangetaka uhakika kama nao wangesaini mkataba wa miaka mitano kuweka pochini 12m/= kila mwezi kama alivyofanya yeye
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…