nimeipenda hii

nimeipenda hii

spartacus

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2010
Posts
428
Reaction score
144
Mimi na girlfriend wangu tulikuwa
tunapendana sana. Tulikuwa
tumeishakuwa pamoja kwa mudawa miaka
minne hivi, na hivyo
tukawa tumeamua kuoana. Kulikuwa na
jambo moja dogo tulililokuwa
likinisumbua sana; mdogo wake wa kike
ambae alikuwa mzuri sana.
Huyo binti (shemeji yangu) alikuwa na umri
wa miaka ishirinina moja hivi,
muda wote alipendelea kuvaa sketi fupi sana
na fulana nyepesi au brauzi
zinazoonesha mwili wake na jinsi kifua chake
kilivyo alikuwa hahitaji
kuvaa sidiria. Pamoja na binti huyu kuwa
mwembamba kiasi, alikuwa na
umbo la ajabu. Kiuno chake kiliumbwa mithiri
ya nyingu weusi....
Tatizo ni kwamba mara nyingi binti
alipokuwa akiniona alikuwa na tabia
ya kujipitisha pitisha na kuinama mbele
yangu ili kunionesha mtaji wake.
Kusema kweli nilikuwa navutiwa sana na
uzuri wake, lakini nilikuwa namuheshimu
sana mchumba wangu. Na pia nilijua alikuwa
ananifanyia makusudi maana
alikuwa hafanyi hivyo kukiwa na watu
wengine...bila shaka alikuwaananitaka.
Siku moja binti huyo alinipigia simu niende
nyumbani kwake nikaangalie kadi za
mialiko ya arusi alizokuwa amechapisha.
Nilipofika (wakati naingia ndani)
akaninong'oneza ¬ kuwa ananitamani sana
na kamwe hawezi kujizuia. Akaendelea
kunieleza kuwa anahitaji tufanye mapenzi
kabla sijafunga ndoa nadada yake
ili nisijisikie vibaya kwamba natoka nje ya
ndoa....
Nilipigwa na bumbuazi na hasa kutokana na
nguo za nusu uchi alizokuwa
amevaa. Kabla sijamwambia lolote akaniwahi
"Mi natangulia juu (ghorofani)
kwenye chumba changu, kama unahitaji
nikupe kitu kitamu njooharaka
kabla mashetani yangu hayajapoa..."
akageuka na kukimbilia chumbani kwake.
Haraka nikageuka na kuelekea mlango
mkubwa wa kutoka nje. Nikafungua na
kutoka kuelekea kwenye gari yangu. Loh!
kwa mshangao mkubwa nikaona
pale nje familia yote imekusanyika na
waliponiona nikitoka wakanipigia
makofi na vigelegele kwa furaha.
Huku machozi yakimtoka kwa furaha, baba
mkwe akaniambia"Tume ¬furahi
sana kwamba umeshinda mtihanimdogo wa
uaminifu ulioandaliwana familia.
Tuna hakika wewe ndie mwanaume pekee
unaefaa kumuoa binti yetu...karibu
katika familia....
Kitu cha maana nilichojifunza siku hiyo, ni
umuhimu wa kuweka condom
ndani ya gari badala ya kutembea nazo
mfukoni....
 
Kumbe inanibidi niwe naacha kondomu kwenye gari!!
Anyway nimeipenda story yako,ila hata kupima uaminifu sio kwa namna hii maana yake hili ni balaa ati chezea papuchi wewe!
 
Sometime is not good to open that door
"
Hivi ukiteleza kwenye matope na ukaanguka,kilichokuangusha ni matope au wewe?
"
Ukiwa unahisi shambani kwako kuna almasi na ukaamua kuchimba na ukaipata,utachukia au utafurahi?
 
Ni wachache sana wanaoweza kuwa hivyo. Nadhani ji hadithi tu hii
 
Dah mkuu naona shetani alikupandisha juu ya mlima mrefu kuliko yote na kukuonyesha miliki ya uzuri wa dunia na kukuomba umkubali ili akumilikishe iye ya kwako,lakini dah...........kitendo cha kufuata condom kwenye gari kilikupa uaminifu usio kuwa nao............kuna mengi ya kujifunza kutoka kwenye hii story.Kaunga dada yangu umetoka kanisani lakini maana nakuona wewe na Kongosho mpo pamoja hapo sijui mnakunya"walwa" ha ha ha ha
 
hadithi hii inazunguka kweli ktk mitandao (since 19 kweusi).
Anyway, it has good sense of humour!
 
U really made my day.

Uwe muaminifu sasa coz next time such a good luck might not be on ur side.

Luv ur story <3
 
wangejua kuwa ni nyang'au alikuwa anafata kondomu kwenye gari,wangejuta kukufahamu
 
Story nzuri nimeipenda,japo inamaswali mengi sana mengine yanaweza kosa majibu.
 
Teh mkuu hadithi yako ni nzuri sana....ila sidhani kama mie huu mtihani ningefaulu aisee..........
 
Wakwe zako wamefurahishwa na igizo ulilo wapa!

Ki huhalisia huwezi kuhimiri vishindo na hipo siku huyo mdada atakupata hata ukiwa ndani ya ndoa kama hii si hadithi
 

Kitu cha maana nilichojifunza siku hiyo, ni
umuhimu wa kuweka condom
ndani ya gari badala ya kutembea nazo
mfukoni....

Kweli wewe maaluni;
Yaani kumbe ulishinda mtihani qa bahati mbaya.
Hukuwa unaondoka bali ulikuwa unafuata vifanyio; spartacus wewe qeli Baradhuli.

Sasa vipi ulichapa mzigo baada ya kuoa;
La sivyo utaonekana si rijali kamili.

Bazazi!
 
Last edited by a moderator:
Kweli wewe maaluni;
Yaani kumbe ulishinda mtihani qa bahati mbaya.
Hukuwa unaondoka bali ulikuwa unafuata vifanyio; spartacus wewe qeli Baradhuli.

Sasa vipi ulichapa mzigo baada ya kuoa;
La sivyo utaonekana si rijali kamili.

Bazazi!
HAHAHA, mi sijui bana.....nimeisoma pahala tu nikaona niilete hapa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom