Nimeipenda Hii

So point inakuwa nini hasa ya kuwa tajiri wakati huvitumii?
 
Unafikiri kuvaa Gucci na Rolex ndiyo kutumia utajiri? wanzetu wanatumia utajiri kuwa na nguvu, vizazi na vizazi kuutumia, na kusaidia jamii. Matajiri uchwara ndiyo huflaunt.
Still haimake sense
 
Kila mtu anachaguo lake la maisha ni kweli hawavai Gucci lakini jamaa wana nunua vitu vya gharama sana na vitu ambayo mtu huyo anayevaa designer clothes pengine hawezi nunua. Mfano billi gets alinunua kitabu cha Leonardo Da Vinci kilichoandikiwa karne ya 16 kwa USD 30 millions.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…