Anko Sam JF-Expert Member Joined Jun 30, 2010 Posts 3,254 Reaction score 907 May 7, 2014 #41 Kigogo said: View attachment 156422 huyu naye yuko chadema kumbe..aisee kweli nyani haoni ----- lake Click to expand... Dingi yake alisema wafanya biashara wajitoe kwenye siasa, sasa sijui ile kauli haimhusu mwanae..?
Kigogo said: View attachment 156422 huyu naye yuko chadema kumbe..aisee kweli nyani haoni ----- lake Click to expand... Dingi yake alisema wafanya biashara wajitoe kwenye siasa, sasa sijui ile kauli haimhusu mwanae..?
Horseshoe Arch JF-Expert Member Joined Aug 10, 2009 Posts 13,402 Reaction score 12,792 May 7, 2014 #42 Waziri mkuu tajwa shes so so... daah, kweli wakubwa wanafaidi!
W wabheja sana Member Joined Mar 27, 2014 Posts 26 Reaction score 7 May 8, 2014 #43 No one is above the law! Bt not in African countries ! Sent from my iPhone using JamiiForums
mwanzo wetu JF-Expert Member Joined May 4, 2014 Posts 1,587 Reaction score 466 May 8, 2014 #44 Sijui wananch wanao wachagua hawana macho ww unampa kura wakati unajua ni mtu waunga .
S sem2708 Platinum Member Joined Nov 4, 2010 Posts 5,949 Reaction score 5,159 May 8, 2014 #45 WAZIWAZI said: kuna mademu wazuri jamaniiiiiii, hapa mzee wetu nina uhakika alikuawa na wakati mgumu sana. Click to expand... Mkao unasema yote hayo ... hata kama ni mimi ningekuwa na wakati mgumu ila ningeshinda
WAZIWAZI said: kuna mademu wazuri jamaniiiiiii, hapa mzee wetu nina uhakika alikuawa na wakati mgumu sana. Click to expand... Mkao unasema yote hayo ... hata kama ni mimi ningekuwa na wakati mgumu ila ningeshinda