mnachukulia tamaa za mwili tu,wivu na unyanyasaji... majoto bhana espcl dar. mnawaza uzinifu tuuuuuu..watu wako bize bana nani wa kumchunguza/ kumtamani dadako / mkeo....WACHA MARAMOJA!!
mimi siamini kama jibu lililotolewa ni great answer, kwani wada christian huwa wako uchi kama hiyo pipi aliyoitupa au aliyoivua?maana he never left a cloth on it, na kuchafuka kunaweza kuwa na tafrsiri gani? maybe u can help....